Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 949
- 2,038
- Thread starter
-
- #301
Mkuu niwe Mkweli nilipuuza kabsa ila saivi najuta kwa haya yanayo nisibu.Wenzio Mbona huwa waandika sana huku Kuhusu single Mummies.
Au ulipuuza wanachokisema ?!
Haya kazi ni kwako.
Kama hakutendei mabaya endelea na upendo wake ,kuna situation moja niliipitia toto nikienda kwangu linanuna na ada ya shule nilikua nalilipia halikuijua primary ya kata ila sekondary tu nimejitoa anaenda kata, hapa ndio pia nauona uhalisia wa mama mtu kua kumbe ilikua inafuatwa huduma ,zaidi kuliko uhalisia wa penzi kwani naye ananuna tu bila sababu, ila kwa kua niko nao mbali nimeamua kuwatizama tuWanaJF
Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.
Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.
Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.
Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.
Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.
Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
Unamaanisha alikuwa anapita pembezoni mwa mfereji akateleza akaangukia mashine jamaa akalilia ndani, baada ya muda akavimbiwa kwa wiki 38 - 40 kisha akatapika, kwa wapenzi wa kikapu tunasema huyo ame-travel, kuteleza mwisho ni cm 60 tu 😂Single mama ni binadamu aliyeteleza tu...
100%Mpende huyo mtoto
Kiluga gani hiki 😂😂😂😂 mpaka watoke damu ndio waelewe, jamaangu alioa singo maza katema bugo mwenyewe anasema msimu wa maembe umeanza. Aisee mtihani, ila anakosea kumchukia dogo janjaKwigwa kwa mbulu mbaka mininga mpoto
Kusikia kwa kenge mpaka atoke damu
Unajua mkuu unaongea kama lipumbavu! Ina maana ukikuwa hujui kama ana mtoto mkubwa? Wewe unaonekana ni mzee lakini akili kama ya mtoto! Maana kama mtoto ana miaka 28 maanake wewe utakuwa kwenye 50+. Wenzio tulioa single mother wenye vitoto vichanga ambavyo havijui hili wa ile!WanaJF
Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.
Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.
Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.
Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.
Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.
Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
Wewe ndo uliyemhukumu dada wa watu, umejenga dhana kwamba mtoto ni zao la zinaa, andiko halijabainisha chimbuko la mtoto, je ni zao la ndoa au nje ya box, yawezekana mtoto alipatikana kwenye ndoa baadaye dada wa watu akatalikiwa, au akatelekezwa, au akafiwa na mumeweTuache kuhukumu, Mungu anasamehe
Hii pointKatika watu wenyewe huruma na roho nzuri Kwa watoto ni wanaume Hilo halipingiki ila nakushangaa wewe utakua na shida
Ila singo maza n Watamu ki$3nge, kuna mmoja huyo bado napiga aisee ni 🔥
mkuu si ulimuahidi kua utampenda yeye na mtoto wake? basi tulia acha kupiga yowe.Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.
Yupo kwake na mm nna kwangu, hatuishi pamoja.Unapiga akiwa nje au umemuweka ndani unaishi nae chini ya dari moja Januari hadi December kila Mwaka mfululizo ??
Ndio maana nikakwambia kwenye comment yangu ya awali kwamba ninatamani ulimbukeni/ushamba na ujinga ulionao kuhusu wanawake(sio matusi haya).nani kakufundisha mtu akiwa single mother hawezi kupenda hebu fungua akili dogo naona najadili mada negative sana
Hii video makin sana imechambua kila kitu kuhusu ujinga wa kuwa stepfather...Ukioa single mama . Wewe ni kama houseboy TU.
View attachment 3264240
Wenzako wanaamini kuoa single mom na kulea bao la mtu ni kupalilia milango ya baraka..🤣🤣🤣🤣Aisee mwanaume mabwege wapo wengi kweli kweli. Nguvu za kuoa single mama mnazitoa wapi nyie?
Ujinga mtupu...imani za kifala hizo kupalilia baraka vipi wakati unakuta huyo single maza mwenye alipata mtoto kwa kugegedwa kabla ya ndoa.Wenzako wanaamini kuoa single mom na kulea bao la mtu ni kupalilia milango ya baraka..🤣🤣🤣🤣