Najuta kuoa Single mother, kila nikimtazama huyu mtoto wake Moyo wangu Unaumia kwa machungu makali. Nahitaji msaada

Najuta kuoa Single mother, kila nikimtazama huyu mtoto wake Moyo wangu Unaumia kwa machungu makali. Nahitaji msaada

Upendo kwa kule Mkojo wa mtu mwingine.....ili hali yuko hai. Ina hustle wakati baba yao pesa anashinda bar na kuhonga wanawake? Utakuwa ni mpumbabu kweli kweli
Kuna wanaume huwa wanaona fahari kulea mabao ya wanaume wenzao wakiamini eti ni kupalilia chemi chemi ya baraka, yaani kabisa unaacha kulea watoto wa wajombaa zako wenye hali ngumu za kimaisha huko kijijini ambao unachangia nao ukoo halafu eti unaenda kujipendekeza kwenye damu za watu kutoka ukoo mwingine ndio upate baraka?

Kweli kurogwa kupo.
 
He/She is innocent, Mpe malezi aliyostahili kupata kutoka kwa baba yake mzazi naamini **** baraka utazipata kupitia huyo mtoto, kumbuka tuna uhuru wa kuchagua mke lakini huwezi chagua mzazi hiyo kuwa sehemu ya mabadiliko rekebisha alipokosea huyo mwanaume mwenzako.
 
Kuna wanaume huwa wanaona fahari kulea mabao ya wanaume wenzao wakiamini eti ni kupalilia chemi chemi ya baraka, yaani kabisa unaacha kulea watoto wa wajombaa zako wenye hali ngumu za kimaisha huko kijijini ambao unachangia nao ukoo halafu eti unaenda kujipendekeza kwenye damu za watu kutoka ukoo mwingine ndio upate baraka?

Kweli kurogwa kupo.
Ni watumwa wa nyege tu hakuna kingine. Kama ni roho nzuri si waanzie na ndugu zao?
 
Dude i envy your naivity and ignorance about women...

Kwamba single mother atakupenda sio?
nani kakufundisha mtu akiwa single mother hawezi kupenda hebu fungua akili dogo naona najadili mada negative sana
 
WanaJF

Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.

Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.

Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.

Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.

Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.

Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
Yuko jamaa mmoja alioa single mother kule Marekani mtoto akiwa mdogo tu. Huyo mtoto sasa ni Jeff Bezos. Baba mzazi hana hata ubavu wa kuomba mia.
 
Ndiyo kwasababu watoto pale ni kwao na wana rithi mali za Baba yao.
Kwani huyo mtoto kamwambia ataridhi mali z.ake, aangalie tu asije akaingiwa na roho mbaya mbaka mtoto Kwa ujinga wake tu
 
Mjue sana mungu ili uwe na amani ndipo mema yatakavyo kujilia;: Kitabu cha ayubu 21:22
 
Kuna jamaa alioa single maza akawa anaishi na mtoto na mama yake na kuwahudumia kila kitu! Mtoto alivyofikisha miaka 10 baba mtoto akaja kumchukua mke na mtoto wake!
 
Mpende huyo mtoto, utaziona baraka za Mungu...

Single mama ni binadamu aliyeteleza tu...

Tuache kuhukumu, Mungu anasamehe
Kumbuka mtoto sio yatima.

Dogo akimaliza form four ataanza kupambana kumtafuta Baba yake na ndugu wa upande wa Baba yake
 
Kaka ukinunua gari used usiogope vipengele kijana wa miaka 28 unaoaje single maza

Unaweza kuoa single maza ikiwa tu na wewe una watoto nje yaan ulishawahi kuoa na ukaachana na mkeo au mkeo alifariki kwa bahati mbaya na lazma utakuwa una miaka kuanzia 45 na kuendelea

Ukiwa na umri mkubwa unakuwa na utulivu wa kihisia hufuatilii sana mitandao ya kijamii ambayo imekuwa kichocheo kikubwa cha kushawishi watu wasioe single mazaz

Lishakukuta kama mkeo hakusumbui komaa nae mshauri mtoto ampeleke mahali pengine
 
Mimi nilijinusua hapa

Wanawake Singo Mama, wanawachukulia Wanaume wenye watoto (Singo Baba) kama wanaoendana .!

Yaan inshu hapa ni kwamba, Huyo mtoto mwisho wa siku Licha ya Pesa utakayotumia bado ataambiwa Baba yake , na usikute jamaa aliachana naye demu Kwasababu tu za kawaida .

Pili Kuna uwezekano jamaa kama Maisha amefanikiwa, atamwambia Demu, njooo Tuishi tulee mtoto wetu Kwa Sasa Niko vizuri.

Mawasiliano yako palepale.

Oyaaa ni ngumu
Possibly kabisa! Damu ni nzito sanaa kuliko maji. Aidha, wana-pyschology wanasema mwanamke akishajifungua tuu mtoto wake wa kwanza mapenzi kwa mumewe hupungua kwa kiasi fulani, sasa je wewe ambaye ndo umekutia ngoma moja bila? Hii ni hatari zaidi
 
Ni balaaa , Mwanamke hawez msahau mwanaume wake alomtoa Bikra, na wa kwanza kumzalisha.
 
WanaJF

Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.

Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.

Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.

Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.

Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.

Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
Achana na huyo mwanamke kwani kuna siku utakuja kumuwekea huyo mtoto sumu umuue na wewe uishie jela.
 
Mpende huyo mtoto, utaziona baraka za Mungu...

Single mama ni binadamu aliyeteleza tu...

Tuache kuhukumu, Mungu anasamehe

Nyie Mbona huwa mnachukia watoto wa kufikia hadi wanasema mama wa mambo si mama ?!
 
Wenzio Mbona huwa waandika sana huku Kuhusu single Mummies.
Au ulipuuza wanachokisema ?!
Haya kazi ni kwako.
 
Back
Top Bottom