Najuta kuoa Single mother, kila nikimtazama huyu mtoto wake Moyo wangu Unaumia kwa machungu makali. Nahitaji msaada

Kwani mkuu lengo la kulea mtoto wa mke wako ili hasije kumtafuta Baba mzazi? Kwani mtoto kumtafuta Baba Mzazi ni kosa au kutaka kujua kwao ni kosa?
Hujaelewa point Mzee unamlea alafu badae hakutambui kwa lolote.
Mzee lea watoto wako mwenyewe usisubiri wanaume wenzako wakulelee
 
Wazazi wangu walikataa sana hili, ila nikakaidi, saivi imebaki majuto. No way nifanyeje Sasa? mtu tayari yupo ndani!!
Kwanini uliwabishia Wazazi kwenye jambo la muhimu, Kwenye jambo la ndoa Wazazi wanakua wameona mengi na wana uzoefu wa kuona kupitia kwa jamii. Mzazi akikwambia jambo msikilize ana kupenda.
 
Kuendelea kukaa na mtoto kama hampendi anaweza mfanyia kitu kibaya. Na ukisema mwanamke ampeleke either kwa baba yake au bibi yake pia huyo mwanamke hatokaa awe na upendo na huyo mwanaume.
 
Kazi ipo
 
We lea tu. Hata wewe inawezekana kuna mtu mwingine analea mwanao..

Huwezi jua huyo mtoto atakufaa kwa lipi. Ila, sikufichi, kama ni binti mlee kwa moyo wote, kama ni wakiume, jiandae kisaikolojia.
 
WanaJF

Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.

Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.

Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.

Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.

Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.

Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
Pole sana ila ukipenda boga penda na ya lake
 
Vijana wa ovyo miaka 28 tuuh umeanza stress za maisha kias hicho hapo bado jamaa haja miss kitumbua Cha mkeo mbona utakufa mapema sanaa
 
WanaJF

Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.

Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.

Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.

Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.

Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.

Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
Mbaya zaidi Kajamaa kanampigia simu "Huyo mtoto anaendeleaje?"
 
Aisee pole sanaa, kwa jinsi ulivyoandika inaonyesha kama kweli upo SERIOUS.
Kwa kweli hiyo scenario inahitaji moyo sanaa. Mimi nilikubali matokeo nilimpenda mdada mmoja alikuwa ni mwenye kila sifa ya kuwa mke lakini ilinibidi nimuache tuu kwa sababu AKILI ilikuwa inakataa kila nikilazimisha naona hii issue sina misuli ya kulibeba hili Suala. Ila nilimpenda sanaa na kweli alikuwa na heshima! Ila daaah...namlaumu sanaa yule aliyemuacha na mtoto wa kiume. Amemchafua mdada wa watu mzuri tuu! 😪😪😪

Mimi nilijinusua hapa

Wanawake Singo Mama, wanawachukulia Wanaume wenye watoto (Singo Baba) kama wanaoendana .!

Yaan inshu hapa ni kwamba, Huyo mtoto mwisho wa siku Licha ya Pesa utakayotumia bado ataambiwa Baba yake , na usikute jamaa aliachana naye demu Kwasababu tu za kawaida .

Pili Kuna uwezekano jamaa kama Maisha amefanikiwa, atamwambia Demu, njooo Tuishi tulee mtoto wetu Kwa Sasa Niko vizuri.

Mawasiliano yako palepale.

Oyaaa ni ngumu
 
WanaJF

Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.

Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.

Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.

Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.

Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.

Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
Mpende jirani yako kama unavyojipende?

Waonekana hata wewe mwenyewe wajichukia vile ulivyo
 
Back
Top Bottom