Najuta kuoa Single mother, kila nikimtazama huyu mtoto wake Moyo wangu Unaumia kwa machungu makali. Nahitaji msaada

Bado hujasema,jazia jazia nyama andiko likamilike
Kingine tambua yuko hapo kwa ajili ya mtoto,hajawahi kukupenda usijidanganye
 
Naangalia tu komenti za Single Moms wanao tafuta ndoa Kwa udi na uvumba.

Ushauri wangu mpige chini fasta bila sababu. Tena kabla hujampa mimba, iki tiki hiyo hii option won't work.
 
Nimecheka kifala hapo kwenye bold..!!

Kuna wanaume wenzetu wanaoongozwa na hisia kwenye maamuzi huwa wanaona kuoa single mother ni kukaribisha mabaraka maishani mwao hata kama huyo single mom aliupata usingle mother kwa kujitakia mwenyewe, mfano wa vijana hao ni Half american Tsh Na Genius Man

Hao jamaa hawaoni shida kubeba leftovers za watu na kuzifanya mke, maana hizo leftovers eti huwa zinakuja na baraka 🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu, kwani vipi tena. Hahahah, wenzako wakila makombo unateseka? mzabzab mwenyewe anakula sana tu.
 
Mimi na kuoa singo maza wapi na wapi, umeniquote vibaya.
 
Mimi na kuoa singo maza wapi na wapi, umeniquote vibaya.
Wewe na mwenzako Tsh ni watu ambao mko liberalized na modernised sana na mmekuwa mstari wa mbele kuwatetea single moms humu jamvini, so ni obvious wanawake hao kwenu ni treasure kuliko hata vigoli sababu wana experience ya kutosha kwanzia kitandani mpaka kwenye maisha, bado na zile baraka zinazoletwa na watoto wao wa zinaa baada ya wewe kuanza kumlipia ada...🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu, kwani vipi tena. Hahahah, wenzako wakila makombo unateseka? mzabzab mwenyewe anakula sana tu.
Hahaha.. mzabzab anakula sana makombo na hataki bikra, ila suala la kuoa hao single moms hajawahi hata kufikiria hii ni kwa mujibu wa maelezo yake.
 
Hahaha.. mzabzab anakula sana makombo na hataki bikra, ila suala la kuoa hao single moms hajawahi hata kufikiria hii ni kwa mujibu wa maelezo yake.
Single maza mbususu zao tamu hatari. Kuna mmoja kajifungua mapacha aisee natamani sana nimgegede ngoja nimlie timing wanasema mbusus ya single maza wa mapacha ni tamuuu sana
 
Single maza mbususu zao tamu hatari. Kuna mmoja kajifungua mapacha aisee natamani sana nimgegede ngoja nimlie timing wanasema mbusus ya single maza wa mapacha ni tamuuu sana
Duuh... fanya hivyo kisha ufanye kushare experience hapa
 
Kwani kuolewa ni hisani 🤣🤣🤣 omo you guys mxieew
 
Kula sio kuoa sheikh
 
Kwanza inakuwaje mtu mwenye akili timamu uoe mwenye mtoto kwani wasio na watoto wameisha?
 
Kwa hali hii na mimi nikiwa single mom. nikimwangalia huyu kiumbe wangu kuliko nije nikutane na mwanaume kama huyu mleta mada bora niwe dunga embe tu kuliko kuja kutesa mwanangu bure. kisa ndoa hapana kwakweli. mtu kama huyu anaweza kuja fanya tukio ambalo hata shetani anaweza kumshangaa. ukisha kuwa singoe mother bora ujiunge kataa ndoa mazima kuliko kuishi maisha ya mashaka wewe na mtoto wako.
 
Katika watu wenyewe huruma na roho nzuri Kwa watoto ni wanaume Hilo halipingiki ila nakushangaa wewe utakua na shida
Hakuna kitu kama hicho, hiyo ni echo chamber experience sio fact na hao jamaa zako wana internal motives. Hakuna mwanaume mzima anayejali kuhusu mtoto wasiye share damu hata kidogo. Hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…