Najuta kuoa Single mother, kila nikimtazama huyu mtoto wake Moyo wangu Unaumia kwa machungu makali. Nahitaji msaada

Najuta kuoa Single mother, kila nikimtazama huyu mtoto wake Moyo wangu Unaumia kwa machungu makali. Nahitaji msaada

Single mother wanateseka sana, me nna rafiki yangu wa kike nlikutana naye chuo, Yeye alipewa mimba akiwa form four na mwanafunzi mwenzake, mpaka leo ana miaka 30 bado hajapata mtu serious, amepita kwenye r/ship kadhaa wahuni wanakula Mzigo wanakimbia, Sahv amekata tamaa analea mtoto wake ambaye yuko form one
Ukimuangalia kwa muonekano wa nje ni mkarimu sana, beautiful ila mpaka sasa yuko kitaa
 
Angekuwa ni mwanamke ameolewa mwanaume mwenye mtoto akawa anapitia changamoto kama hizi ungetoa ushauri mwingine au ndo huu huu both sides?
Kitu cha kwanza wanawake kinachowaangamiza ni kujilinganisha na mwanaume,Mwanaume na mwanamke ni viumbe 2 tofauti kuanzia tabia mpaka akili.Mwanaume ana uwezo wa ku control mambo-mwanamke hana uwezo huo.Mtoto yoyote kwa sheria za kidunia na kidini ni wa Mwanaume na sio wa Mama hii ni duniani kote.so,mfano wako hauna mlinganisho sawia.
Vilevile,wenzetu wazungu mtu anaweza oa mwanamke mwenye mtoto na isitokee hata siku moja akawa na mafungamano na mzazi mwenzake hii ni tofauti na wanawake wa kiafrika-hivyo,ni risk kuoa mwanamke mwenye mtoto kwa Afrika.
 
Acha ufala Kijana, ungekuwa mwanangu ningekugonga ngumi za uso ili akili yako ikawe sawa, badala ya kumshughulikia mkeo apate ujauzito unaleta habari za kijinga. Usitupotezee muda pambana ukishindwa omba msaada kwa marijali wakusaidie.

Samahani kama nimekukwaza ila nimekuambia ukweli mchungu.
Nashukuru sana. Vipi wewe kama Mzazi utakubali mwanao akuletee mwanamke mwenye mtoto ikiwa yeye Hana?
 
Kila siku anatusanua Kuna neno huwa analitumia ana sema tusiwe masimp

Angalia sasa ndugu yetu ana Lia Lia wakati angemsikiliza Natafuta Ajira haya yote yasinge mkuta

Mimi kuanzia nianze kumsoma huyu jamaa nimekuwa makini sana na hawa single maza
A simp is a shame to his friends, parents and ancestors
 
Umeoa au umesogeza?

Kuoa namaanisha kama ulifuata taratibu zote za kisheria.

Kama umeoa, wazazi wako hasa mama aliridhia?

Mkeo ushawahi kumpeleka kwenu?

Mzazi mwenzake wa huyo mtoto unamfahamu?

Wazazi wako walimpokeaje?

Kama ulisogeza ni kitu gani kinakufanya ujute na kuanza kulialia, kwamba umeshindwa kumtema kwa kutumia tu uongo kidogo kabla unyumba wenu haujaota mizizi, hadi utumie ushauri wa watu?

Una umri gani kwani!

Mkuu mada tukiikandamiza maswali hii, naiona eti kama inaelea haina uzito wowote kama puto ama kwa lugha nyingine 'chai jaba'?
Kichwa Cha habari kimejieleza kabsa Mkuu labda kama hujasoma, umekimbilia kutoa comment.

Kuhusu upande wazazi. Niwe Mkweli wazazi wangu hawakuridhia nioe huyu mwanamke ni ukaidi wangu tu ndiyo umepelekea yote haya.
 
Nikajua labda tatizo ni mawasilino kati ya mkeo na mzazi mwenzake, kumbe ni huyo mtoto! Unatia aibu, mtoto ni malaika, ulivyoamua kumlea mwanzo ulitakiwa kufikiria yote pamoja na huyo mtoto.

Kama mama yake hakusumbui, lea mtoto, ni sadaka unatoa. Huyo mpuuzi aliyeacha damu yake bila kuiangalia wala usimfikirie.
Mkuu najilazimisha sana kumpenda huyu mtoto lakini nafsi yangu imegoma kabsa. Na sijui nifanyeje.
 
WanaJF
Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.

Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.

Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.

Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.

Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.
Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
Utoto unakusumbua,miaka ya 60 kuna mzee alioa mama wa watoto wawili kwa mwanaume mwingine,yule baba wa watoto alienda pwani kutafuta maisha,baba wa kambo alilea kwa miaka kumi hawa watoto mpaka walipochukuliwa na baba yao,huko pwani walisoma,wakawa na maisha, watoto wa baba wa kambo hawakusoma,wale watoto hawakumsahau baba wa kambo,alipougua waligharamia matibabu kwa kuwa watoto wa baba wa kambo hawakuwa na uwezo,alifariki,waligharamia mpaka mazishi,kabla walikua wakimkumbuka kwa mavazi na sukari
 
Aisee pole sanaa, kwa jinsi ulivyoandika inaonyesha kama kweli upo SERIOUS.
Kwa kweli hiyo scenario inahitaji moyo sanaa. Mimi nilikubali matokeo nilimpenda mdada mmoja alikuwa ni mwenye kila sifa ya kuwa mke lakini ilinibidi nimuache tuu kwa sababu AKILI ilikuwa inakataa kila nikilazimisha naona hii issue sina misuli ya kulibeba hili Suala. Ila nilimpenda sanaa na kweli alikuwa na heshima! Ila daaah...namlaumu sanaa yule aliyemuacha na mtoto wa kiume. Amemchafua mdada wa watu mzuri tuu! 😪😪😪
Hakika mwanzo shida haikuwepo, na nilimpenda sana huyu mwanadada shida imekujaa baada ya kuingia kwenye ndoa. Ninafanya kila mbinu ya kumpenda huyu mwanae nimeshindwa kabsa. Nafsi yangu nailazimisha but ndiyo hivyo imegoma.
It's to be free niutue huu mzigo Sasa.
 
Utoto unakusumbua,miaka ya 60 kuna mzee alioa mama wa watoto wawili kwa mwanaume mwingine,yule baba wa watoto alienda pwani kutafuta maisha,baba wa kambo alilea kwa miaka kumi hawa watoto mpaka walipochukuliwa na baba yao,huko pwani walisoma,wakawa na maisha, watoto wa baba wa kambo hawakusoma,wale watoto hawakumsahau baba wa kambo,alipougua waligharamia matibabu kwa kuwa watoto wa baba wa kambo hawakuwa na uwezo,alifariki,waligharamia mpaka mazishi,kabla walikua wakimkumbuka kwa mavazi na sukari
Siyo wote wanakua hivyo
 
Njemba inainjoi kuwa Baba wawili.
Haijali lolote ipo tu yani inainjoi life.
 
Kanuni ya single mother ni kumtundika mimba na kumuongezea mtoto.

Halafu unakula nduki, akikuuliza unamwambia mbona yule wa kwanza hakukuoa?
 
Back
Top Bottom