Najuta kuoa Single mother, kila nikimtazama huyu mtoto wake Moyo wangu Unaumia kwa machungu makali. Nahitaji msaada

IPO ivi mdg wangu utoto Bado unakusumbua huja mature kiakili, nilidhan labda umekuta mke wako Wana mawasiliano chanya na huyo baba wa mtoto ila kumbe ni unajutia maamuzi ulioyafanya apo umefeli, unapomsaidia mtu yeyote usi demand kulipwa fadhira Fanya kama unatoa sadaka kanisani, Mimi baba angu alinifukuza home kipindi nasoma na nilipokua shule nikipata rafiki mchaga akaenda kuwaeleza kwao kua nna matatzo na anaomba nikae kwao,

Akanikubalia nikaenda kukaa kwa yule mchaga ambae sina undugu nae hata tone alinilea kama mwanae wa kuzaa kwa kunipa mahitaji yote muhimu na kipindi hiko baba ni mfanyakazi serikalini na huyu bwana ni mfanyabiashara

mpk Namaliza shule naamua kuondoka kwake sijawah kumlipa hata sent kuhusu kunilea

Na hajawahi kunilaum wewe kulea mtoto wa mwenzio unaona ni kazi,, kwa hyo ata watoto wako utawalea uki demand watakuja kukulipa??

Lea kama unavoweza kumlea mtoto uliemuokota mtaani au kama mwanao au kama mtoto wa ndg yako acha ufala
Kulea rafiki wa mtoto wako na kulea mtoto wa mke wako aliyezaa na mwanaume mwenzako ni vitu tofauti. Hayo mawili ni far from relevant, jifunze reasoning. Ni mjinga pekee atakubali kulea mtoto wa mke wake ambaye sio damu yake.
 
WanaJF

Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.

Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.

Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.

Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.

Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.

Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
Wewe ulimuoa mtoto wake au yeye mama mtoto. sasa kama wewe uliyemuoa ni mama watoto, hasira zako kwa mtoto wa watu zinatoka wapi? Kama hutaki kulea mtoto wa mtu subiri afikishe miaka 7 then amrudishe mtoto wa mtu.
 
Leo nimekutana na mtu mwenye roho ndogo sana. Wewe ukiona mbingu basi tena

Unahangaika na mambo ambayo, miaka 100 hata hayana maana wala hayatabadilisha chochote.

Love Thy NNeighbour. Huwezi jua huyu mtoto ataweza kukuletea baraka sana.

Nalea watoto ambao sio wangu, na wala mama zao sijawahi tembea nao. Duh we jamaa umenishangaza sana. We live in different world totally. .
 
Nikajua labda tatizo ni mawasilino kati ya mkeo na mzazi mwenzake, kumbe ni huyo mtoto! Unatia aibu, mtoto ni malaika, ulivyoamua kumlea mwanzo ulitakiwa kufikiria yote pamoja na huyo mtoto.

Kama mama yake hakusumbui, lea mtoto, ni sadaka unatoa. Huyo mpuuzi aliyeacha damu yake bila kuiangalia wala usimfikirie.
Malaika ambaye mwisho wa siku anakukana kwamba wewe sio baba yake licha ya yote uliyomfanyia? Malaika anatabirika, ana definite purpose, lakini binadamu anabadilika kila dakika.
 
Kwa hali hii na mimi nikiwa single mom. nikimwangalia huyu kiumbe wangu kuliko nije nikutane na mwanaume kama huyu mleta mada bora niwe dunga embe tu kuliko kuja kutesa mwanangu bure. kisa ndoa hapana kwakweli. mtu kama huyu anaweza kuja fanya tukio ambalo hata shetani anaweza kumshangaa. ukisha kuwa singoe mother bora ujiunge kataa ndoa mazima kuliko kuishi maisha ya mashaka wewe na mtoto wako.
Huo ndio uhalisia. Cheza karata zako kiumakini au utasubiri kudeal na heavy consequences.
 
Hahaha.. mzabzab anakula sana makombo na hataki bikra, ila suala la kuoa hao single moms hajawahi hata kufikiria hii ni kwa mujibu wa maelezo yake.
Yeye akila bila kuoa na mimi nikawakusanya kwa ndoa si ni wote tunakula? Tabu ipo wapi?

Mkuu wewe kama una single mother yupo tayari kuolewa mlete tu, awe tayari kuolewa ndoa ya wake wengi, akitaka talaka atapata wakati wowote.
 
Hakuna kitu kama hicho, hiyo ni echo chamber experience sio fact na hao jamaa zako wana internal motives. Hakuna mwanaume mzima anayejali kuhusu mtoto wasiye share damu hata kidogo. Hakuna.
Utakua mtu mwenye roho mbaya ndo maana sishangai wanawake kutesa watoto wenu (mama wa jambo) kumbe pia Kuna wanaume wenye roho hizo
 
Kulea ni jambo la kawaida tu tunalea yatima na watoto wa mtaani na hatutegemei malipo kutoka kwao in return, shida ni mapenzi yenu yako mashakani tu kama ulirogwa basi dawa zimeisha na bibie kasahau kwenda kuzimua 😁
 
Kwa single mother kuolewa ni kufanyiwa hisani tena kubwa sana.
Hisani anafanyiwa mtu yeyote tegemezi awe na mtoto au hana. Huwezi ukaniambia single mom mwny career yake na kazi yake eti umemfanyia hisani
 
Ukishakuwa tu single mother haijalishi una career au jobless, weww hauna tena thamani kwenye soko la mahusiano.

Thamani ya mwanamke kwenye soko la mahusiano haipimwi kwa career au pesa anazomiliki bibie, thamani ya mwanamke inapimwa kwa her purity,less emotional demage,subservience na her ability to bond with new partner.... na kwa bahati mbaya sana hivyo vyote single mother hana, hivyo basi ni mwanamke ambaye hana thamani na kwa vile hana thamani basi kuolewa kwake ni kufanyiwa hisani.

Umewahi kujiuliza ni kwanini wanaume wengi matajiri huwa wanapenda kuoa vigori na huwezi ukakuta wanaangaika na masingle mothers?(hapa simuongelei Aziz Ki)

Mtu yuko radhi aoe mwanamke virgin ambaye ni jobless kuliko kuoa single mother mwenye career yake nzuri anayeingiza pesa za kutosha, kwa sababu pesa za mwanamke huwa mara nyingi hazina msaada kwa mwanaume, na hivyo basi hazimpi uthamani wowote ule kwenye industy ya mahusiano... kwa hiyo unakuja kuona binti kigori wa miaka 20 asiyekuwa na ajira ni chaguo bora zaidi mara ishirini kuliko wewe single mother mwenye miaka 30+ ambaye ni muhasibu wa TBL.

mwanamke single mother mwenye ajira, ana thamani kwa wanaume dhaifu na simps kam Aziz ki tu au viben tens.
 
Umeandika maneno marefu siwezi kusoma ila kwa logic ya kawaida hamna hisani na mahusiano umeyabrand kama bidhaa ya sokoni, lkn bidhaa humfaa aitakaye. Nmemaliza
 
Hata asipogeuka yeye atabaki kuwa siyo mtoto wake
Kwahyo akiwa sio mwanae ndio kinabadilika kipi
Hata asipogeuka yeye atabaki kuwa siyo mtoto wake
Sa akiwa sio mtoto wake ni vibaya kumsaidia kukua?

Diamond alimsaidia harmonize je Mond alikua baba wa Harmo?

Ronaldo alisaidiwa pasi ya mwisho na rafiki yake ambae alikua na nafasi ya kufunga ili aende sporting cp, je yule rafiki alikua baba wa Ronaldo?

Baloteli kalelewa na wazee wa italia je walikua wazazi wa kumzaa wale?

Hivo ni mifano baadhi kati ya mingi ya watu waliofanikiwa kutokana na watu baki na baba zao wakiwepo.

Sometimes fanya wema tu haijalishi utarudishiwa nini kikubwa ushafanya.
 
WanaJF

Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.

Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.

Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.

Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.

Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.

Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
Kuumia huku nilitegemea ni kwa akina mama tu? kumbe hata wakina baba pia lakini kwa nini uoe? kataa ndoa bro
 
Umeandika maneno marefu siwezi kusoma ila kwa logic ya kawaida hamna hisani na mahusiano umeyabrand kama bidhaa ya sokoni, lkn bidhaa humfaa aitakaye. Nmemaliza
Ungeyasoma maelezo yangu ungepata kitu walau cha kuwafunza wanao wa kike.

My dear mahusiano ni fursa hasa kwa mwanamke, ikiwa wewe unayachukulia kwa namna nyingine tofauti na hiyo basi uko kwenye hasara.

Mahusiano yanampa mwanamke sustainable wellbeing hasa ukimpata mwanaume mwenye thamani(high value man) kwa maana ya mwanaume mwenye hela au strong network ya pesa... sasa kama wewe una date low value men yaani wanaume kajamba nani ambao hawan connection wala pesa, basi una hasara kubwa sana.

Kitu pekee mwanaume anachonufaika nacho kwenye mahusiano ni sex tu labda na mtoto.
 
WanaJF

Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.

Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.

Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.

Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.

Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.

Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
Mlee mwanangu
 
Back
Top Bottom