Najuta kupoteza muda wangu kuangalia Ujinga uliopo Kwenye series ya money heist

24 ya Jack Bauer ndo ulikuwa mwisho wa series kali duniani...

SAW ikamaliza.

Now we are done.
 
Mkuu hapa mchawi link tu. Tufanyie kama hutajali
 
Niliishia S1 episode za mwanzo mwanzo tu
Hata nilipopreview za mbele sioni cha maana

Mtu km ameamua episode nzima yuko eneo moja basi walau kuwe na 'thrilling' events ila sijaona jipya., nikaachana nayo
 
Sio kila kitu ni kwa ajili yako, kama mimi nikiona mwanaume mwenzangu anakazana kunisimulia au kuniuliza series kibao nakuwa napata wasiwasi na mifumo ya mantiki katika ubongo wake.

Mtu anakutajia series lukuki za nje mpaka za kina Mwijaku, mpaka unajiuliza huyu anataka kuwa script writer,director au ni "ugonjwa gani".
Mwisho wa siku nakumbuka sio kila kitu ni kwa ajili yangu, wana walengwa wao.
 
Kwa akili ya kawaida ningekuwa mjinga kama ningeangalia season 1 alafu nije kuconclude ndiyo maana ilinilazimu kuimaliza ili nipate picha kamili
Mzee ulikuwa na moyo sana kumaliza season zote 4, mimi hta season 1 sikuimailiza, niliona ni kama mateso kuangalia upumbavu kama ule, mimi ni mpenzi wa series sana naweza kukesha hata usiku mzima nikicheki series lakini money Heist hata kucheki episode moja nilikuwa najilazimisha sana
 
Hizi nyingi ninezitazama na kuzikubali, The Wire, Sopranos, Breaking Bad, Homeland etc
Ila hii Money Heist Ni rubbish, total rubbish,. Haina uhalisia, inawafanya wale Polisi kuwa incompetent kupita kiasi na yule professor kuwa mtu nwenye6 bahati kupita uhalisia Ni ujinga
 
Money Heist Ni rubbish, total rubbish,. Honestly sikumaliza hata season 1 kitu ambacho Ni nadra Sana kwangu

Haina uhalisia, inawafanya wale Polisi kuwa incompetent kupita kiasi na yule professor kuwa mtu nwenye bahati kupita uhalisia Ni ujinga
 
Hahahaha!!!!!
 
Haupishani na mimi. Nilipoangalia Into the badlands ikawa kama ni ugonjwa. Mpaka sasa napenda series zenye mkono kama into the badlands. Banshee niliangalia lakini haikunivutia kabisa. Katika kutafuta futa angalau kidogo WU ASSASSINS inaliwaza.
24 niliangalia ikanishinda, Breaking bad, Hanna, Wynonnah Earp, Dark
Hata me naona banshee Ni moja Kati ya series yangu Bora kabisa sijui kwanini watu hawaizungumzii?au watu wengi hawajaiona? Pia Kuna into the Badlands nayo Ni nzuri ebu naomba unitajie series inafanana na banshee
 
Breaking bad niliangalia epsode 1 tu ikanishinda. Sipendi series zenye story tu. Nataka za mkono, ngumi, bunduki (muda wote watu wamechafukwa). Money Heist ilinishinda hata kipande kimoja kukimaliza. Lost na The 100 nimeangalia mpaka epsd 5 sijazielewa. Watu bado wapo maporini tu wanazunguka zunguka, hakuna mishe ya kutisha. Wanataka mpaka uangalie mpaka season 3. Series za hivi waangalie wengine
WU ASSASSINS kidogo nimeilewa kama hizo. Muda wote watu wamechafukwa.
 
wakuu,mimi natafuta prison Break ile ya zamani,mwenye link ya web ambayo naweza kudownload naomba anitumie
 
Kitu gani kilichokufanya usivutiwe na series ya banshee?
 
Ngono nyingi halafu za wazi wazi kama unaangalia porno halafu ni story sana. Angalia Into the badlands (kama umeshaangalia) kisha angalia Wu Assassins kama haujaangalia wu assassins kaitafute. Series kama hizo ndizo napenda.
Kitu gani kilichokufanya usivutiwe na series ya banshee?
 
wakuu,mimi natafuta prison Break ile ya zamani,mwenye link ya web ambayo naweza kudownload naomba anitumie
Kwa upande wangu prison break niliimaliza kupitia app hii movieboxpro NB huwezi amisha movie au series utaangalia na kuiacha humo mpaka subtitle utapata ukikocha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…