Mtemi Mbojo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 891
- 1,569
Pole sana kiongozi, usiwasikilize wewe songa na yako,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha Kumloga binti wa watuWakuu siandiki thread hii Kwa lengo la kukashifu au kutweza mtu au kabila la mtu.
Iko hivi
Miaka 10 au zaidi kidogo iliyopita nilijikuta kwenye huba zito na binti mmoja pale Arusha mjini.
Bint huyu alikuwa mzaliwa wa Arusha lakin wazazi wote wawili ni warangi.
Kwa sababu za hapa na pale mahusiano yetu yaliisha rasmi mwaka 2015 .
Ajabu ni kuwa bint huyu aliolewa miaka hiyo hiyo ya 2015 ila kila mara akipata changamoto basi mama yake anamwambia mwanaye kwamba ameenda Kwa mganga kaambiwa mwanae karogwa na Mimi.
Hii imekuwa kero kubwa Sana kwanga na suala hili linanifedhehesha Sana.
Je naweza kuchukua hatua gani kukomesha tabia hii?
M1 wapo ni wee, subirii kuumbukaa LolKwa michango ya wadau nimeamin kweli zile tafit kwamba Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye waamin wengi wa ushirikina
Kwanini broo?Tembea na wote ila muogope mwanamke wa kipare
Hahhaha wakikupandia kule milimani kwao ni kisangaTembea na wote ila muogope mwanamke wa kipare
Anataka kukumbushiaAcha mawasiliano na ma Ex.
Wacha uwoga mkuu wee endelea na mambo yako ya Maisha.Wakuu siandiki thread hii Kwa lengo la kukashifu au kutweza mtu au kabila la mtu.
Iko hivi
Miaka 10 au zaidi kidogo iliyopita nilijikuta kwenye huba zito na binti mmoja pale Arusha mjini.
Bint huyu alikuwa mzaliwa wa Arusha lakin wazazi wote wawili ni warangi.
Kwa sababu za hapa na pale mahusiano yetu yaliisha rasmi mwaka 2015 .
Ajabu ni kuwa bint huyu aliolewa miaka hiyo hiyo ya 2015 ila kila mara akipata changamoto basi mama yake anamwambia mwanaye kwamba ameenda Kwa mganga kaambiwa mwanae karogwa na Mimi.
Hii imekuwa kero kubwa Sana kwanga na suala hili linanifedhehesha Sana.
Je naweza kuchukua hatua gani kukomesha tabia hii?
Hupo Arusha, mwanamke ulishaachana naye, umejuaje kuwa mama yake huwa anasema hivyo? Umejuaje kuwa wanakwenda kwa waganga? napeta kero gani wakati uko mbali na tena ni muda mrefu?Sipo Arusha Kwa zaidi ya miaka 8 sasa.
Mimi ni wale wasio amin ushirikina na Imani yangu hainiruhusu kupiga ramli