Najuta kutotembea na mke wa rafiki yangu

Ni ujinga wako umecheka na nyani sasa ndio yamekukuta mtu bonabo kaingia kichwa kichwa piga mzigo
 
Usijute banaa!!!
Hata ungemwambia mkeo ananitaka asingekuamini, ungebadilishiwa kuwa wewe ndiyo unaemtaka.
Siku nyingine, actions zako, heshima yako, jinsi unavyoongea na kumheshimu mke wa rafiki yako kunazuia baadhi ya fikra chafu.
Jiheshimu tu.
 
Bado nafasi unayo, mtafute umtake radhi.
 
Ucjilaumu wangu tendo ulilofanya ni lakishujaa wangu uwezi jua mungu kakuepusha na nn wangu
 
usijite bwana endelea na maisha yako
uwez jua mungu amekuepushia nn?
ol in ol take care GOD loves you.
 
Ulifanya vizuri kutotembea naye,
 
nahofia hiyo coy yenu itaishia pabaya! jitahidini saana kuepuka kuzungukiana kwa mashemeji zenu, mbona kuna wengi tu mitaani yanini mpotezeane heshima kiasi hicho.
 
Umesoma vizuri mkuu post yangu

Kaka Kiritimba, huyo bwana kasoma vizuri post yako, hata mie pia; issue ni kwamba kwanini ujutie kitu ambacho haujafanya. Kipi bora, kumshedede mke wa rafiki yako na urafiki wa kinafiki uendelee kati yenu au kuchukua maamuzi magumu na urafiki ufe?
 
Nahisi rafiki yako hatoi dozi ya ukweli kwa mke wake ndio maana binti anahaha. Mpe somo mshikaji wako ikibidi mtafutie darasa akajifunze maujuzi
 
Nahisi rafiki yako hatoi dozi ya ukweli kwa mke wake ndio maana binti anahaha. Mpe somo mshikaji wako ikibidi mtafutie darasa akajifunze maujuzi

Huoni kuwa ndio nitasababisha matatizo yawe makubwa zaidi?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…