LordJustice1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 2,263
- 532
Aaagh, mie nilivyomuelewa uyu jamaa anajuta kwa nini hakumDO uyu mke wa partner wake kwani (1) uyo shem alimzimia sana akapoteza iyo opportunity, (2) partner wake anamchukia kwa kumuhisi tu na ata anakosa (3) na mwisho yeye amesusa wakati partner wa tatu anamtafuna uyo shemeji km hana akili timamu aya yote lazima yamfanye ajute
Mmmh! Kama kulala na mke wa mtu ni "opportunity" hapo kazi ipo! Suppose mtu akapata "opportunity" ya kulala na mkeo kwa kuwa mkeo "kamzimia jamaa" utaona sawa tu au "opportunity" ni kwa wake za wengine tu?