Najuta kutotembea na mke wa rafiki yangu

Usijitoe na unachotakiwa kufanya ni kuweka wazi kwa mbinu unazojua wewe uhusiano wa partner wenu mwingine na mke wa jamaa yako,kwanini uishi kwa wasiwasi wakati wenzako wanapata raha?
 
Dah!!! Bahati kama hizo huwa hazitufikii kabisa sisi sijui kwa nini. \ingekuwa mimi angepigwa Katerero huyo hadi akakoma.
 
Acha uongo. Moja kwa moja uliuza lugha na ukashtukiwa. Usemi wako tu "Ameoa mke mrembo ile mbaya" inathibitisha hilo. Maana yake ni kwamba, the first moment you saw her ulimtamani na ukaanza advances, jamaa akakushtukia bila wewe kufahamu. Ulipozidisha advances towards her, mwanamke uzalendo ukamshinda, na kwa sababu anamheshimu mume wake akamuelezea issue nzima. Hapo ndipo matatizo yalipoanzia.
 

na vipi kuhusu kumegwa na jamaa yetu mwingine..!?
 
Nyie vijana nyie....duh!!
Haya bana.
 
Usijitoe na unachotakiwa kufanya ni kuweka wazi kwa mbinu unazojua wewe uhusiano wa partner wenu mwingine na mke wa jamaa yako,kwanini uishi kwa wasiwasi wakati wenzako wanapata raha?

Kwenye red: Yaani nimchomee jamaa kwa mshikaji? Unajua madhara yanayoweza kujitokeza hapo? Nitakuwa nasolve tatizo au ndo nazalisha mengine zaidi na zaidi...?

Kwenye bluu: Kwa nini raha wanayoipata wao nisiipate na mimi, kwa mfano?
 
Mwanzo(Gen) 39: 7-21
7 Ikawa baada ya mambo hayo, mke wa bwana wake akamtamani Yusufu, akamwambia, Lala nami. 8 Lakini akakataa, akamwambia mke wa bwana wake, Tazama, bwana wangu hajui kitu kilichowekwa kwangu nyumbani, na vyote alivyo navyo amevitia mkononi mwangu. 9 Hakuna mkuu katika nyumba hii kuliko mimi, wala hakunizuilia kitu cho chote ila wewe, kwa kuwa wewe u mkewe. Nifanyeje ubaya huu mkubwa nikamkose Mungu? 10 Akawa akizidi kusema na Yusufu siku baada ya siku, lakini hakumsikia alale naye, wala aongee naye. 11 Ikawa, siku moja, akaingia nyumbani atende kazi yake, wala hapakuwa na mtu katika watu wa nyumbani humo ndani; 12 huyo mwanamke akamshika nguo zake, akisema, Lala nami. Yusufu akaiacha nguo yake mkononi mwake, akakimbia, akatoka nje. 13 Ikawa alipoona ya kwamba amemwachilia nguo yake mkononi mwake, naye amekimbia nje, 14 akawaita watu wa nyumbani mwake, akasema nao, akinena, Angalieni, ametuletea mtu Mwebrania atufanyie dhihaka. Ameingia kwangu, ili alale nami, nikalia kwa sauti kuu. 15 Ikawa, aliposikia ya kuwa nimepaza sauti yangu na kulia, aliiacha nguo yake kwangu, akakimbia, akatoka nje. 16 Basi akaiweka ile nguo kwake hata bwana wake aje nyumbani. 17 Naye akamwambia kama maneno hayo, akisema, Yule mtumwa Mwebrania uliyemleta kwetu, aliingia kwangu anidhihaki. 18 Ikawa nilipopaza sauti yangu, nikalia, akaacha nguo yake kwangu akakimbia nje. 19 Ikawa bwana wake aliposikia maneno ya mkewe aliyomwambia, akisema, Mtumwa wako amenitendea mambo kama haya, hasira yake ikawaka. 20 Bwana wake akamtwaa Yusufu, akamtia gerezani, mahali walipofungwa wafungwa wa mfalme, naye akawamo humo gerezani. 21 Lakini Bwana akawa pamoja na Yusufu, akamfadhili, akampa kibali machoni pa mkuu wa gereza
 
hutakiwi kujitoa ktk kampuni,kwani itapelekea kuhisi zaidi,ipo siku atajua anayemmegea tunda lake(za mwizi arobaini)
 
sema ukweli then ukithibitika ndio uondoke
 


pull out your shares man!. the issue looks tricky, once family issues get into business we call it "the begining of the end "of the business
 
mkaze fasta- kila kitu utaweka sawa.
ya nini ujute?- grab your cellphone make a call and...........
hhahhahaaa just jocking
 
Nimesoma lakini nashangaa unapojuta kuepuka matatizo mazito!

nikweli hakupaswa kujuta bali kusherehekea ushindi kwa kuukwepa mtego.yawezekana angemkula yangekua yametokea matatizo makubwa kuliko hayo anayodhani ni matatizo anayopata kwa kutotembea na huyo mke wa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…