ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Yaani kila nikipita pale Kibo naumia sana tulikuwa na nyumba tatu zilizoungana ambazo moja tukiishi zingine zilikuwa za kibiashara tukaja kubomoa baada ili kupisha barabara eneo ambalo kwasasa wamekuja watu wamevamia na kujenga mabanda ya biashara.
Ukija maneno mengine kama Kona na Baruti kuna watu hawajabomoa maisha yanaendelea kama kawaida sasa hii Sheria sijui ilikuwa ya wachache yaaani Kimara kuna watu hawajaboa Korongwe pia na serikali ipo jamani nchi yetu sote.