Najuta kuwa karibu na shemeji zangu! Nisaidieni

MTOAHOJA

Member
Joined
Nov 28, 2011
Posts
37
Reaction score
3
Nina mtu wangu na nampenda sana, kuna siku nilimake apointment na mdogowake na gf wangu na lengo kuna ishu nilitaka kujua juu ya gf wangu, cha ajabu alimponda sana dada yake, sikujali zaidi niliona vema nifanye analysis ndo nihukum, wakati tupo kwenye gari namrudisha shem wangu alikuwa mara ananigusa bega huku nadrive nilihisi kitu lakini sikujali, wakati namshusha aliniangalia usoni kama anataka kitu mi nikakausha,

alipofika home akanipigia kunitaarifu kuwa amefika, baadae akaniambia atakuja kwangu kuna ishu anataka kuniambia, kutokana na kumpenda sana gf wangu na nilitaka kujua basi nilimkaribisha, mi ni mwanadamu kabisa alichonimbia ni kuwa ananipenda tena sana na yuko tayari kwa lolote,nilikataa alichoniambia nikikataa anamwambia dada yake! ni kwleli ni mzuri na anavutia sana na mimi niliingiwa na shetani nikamkubalia sema niligoma kuplay nae siku hiyo kwani roho ilisita sana na kesho yake nikampa sharti la kutest hiv nikihisi atakimbia, kweli alikuja tukaenda kutest and we found free hiv all of us!siku hiyo nilido with protectiction lakini! iliniuma sana tena sana but thats it!

Kwa sasa naona na dada yao kaibuka mara smu saa sita usiku mara g9t text nyingi mara gmorning shem wa ukweli, mara nataka kukutoa nikimmwabia poa ila tuwena mdogo wake yani gf wangu hataki!sasa imekuwa kero kwangu, nimebadilisha namba ya simu kukwepa usumbufu huo lakini wapi! najuta na kweli nilikosea sana kujiingiza kwenye mambo kama hayo hali gf wangu we are in good terms! sasa je nikimuoa na hawa jamaa nitakuwa nawachukuliaje au wao watanichukuliaje? kweli nimekoma! i am sorry for what happened! soory to my gg
na nina mpango wa kumwambia hiki kisa takavyoamua i will be ready!
 
ndugu,

Ile sheria ipo, ila tu watawala wanaogopa kuitumia eti tu kwasababu ya haki za binadamu! Vipi mzee unataka nchi imislael.

wanaogopa maana na wao wanajua kuna siku kichaa mmoja atakamata rungu na itawarudia
 
ndugu,

Ile sheria ipo, ila tu watawala wanaogopa kuitumia eti tu kwasababu ya haki za binadamu! Vipi mzee unataka nchi imislael.

huyu jamaa inabidi tumu israeli tu bana..mambo gani haya anawafanyia dada zetu.
 
Umeteleza ile mbayaaa kiongozi! utawachanganyaje mtu na mdogo wake! Lazima ijulikane hiyo.. Ebu fikiria kama na wewe ungechanganywa na mdogo wako. Ungejisikiaje.
 
wewe jamaa umewadhalilisha sana dada zetu..hata kama huyo dogo alikuwa na stimu zake ila wewe ulikuwa kwenye nafasi kubwa sana ya kuweza kukataa
tamaa,,...
 
Daaa mkuu ulikosea sana kutembea na shemejio .... Ni kama makusudi, maana mpaka mnaenda kupima! yaonekana ulidhamiria.
Tamaa za mwili zilikutinga lakini ndo hivyo yametokea hata nikikulaumu kwa sasa haitasaidia.

Nakushauri kama bado unampenda gf wako, aisee mweleze shem wako ukweli kwamba ulikosea kuwa naye na usingependa kuwa naye tena! Tena umwambie wazi kuwa moyo wako unaumia sana na usingependa kumuona tena ktk mahusiano yenu. Uwe umedhamiria na Mungu akutie nguvu maana najuwa wengi wakishafika kwenye hii hatua, huwa ni ngumu kuacha na kujikuta wamegeuka cobra, wanagonga huku na kule! Hili si jambo la kiungwana kabisa, ujitoe kwenye haya matatizo ya kujitakia, na umpende na kumheshimu mkeo na siyo kujirahisi kwa shemeji kirahisi kama ulivyofanya.

Hata sisi huwa tunakutana na hizo mishemishe za mashemeji lakini huwa hatulainiki hivyo kirahisi, mwanaume ni kuwa na maamuzi thabiti. Imagine akitokea shem wako mwingine akakwambia unampenda, utatembea na wangapi?
Otherwise, all the best kwenye kujenga mahusiano yako upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…