Nina mtu wangu na nampenda sana, kuna siku nilimake apointment na mdogowake na gf wangu na lengo kuna ishu nilitaka kujua juu ya gf wangu, cha ajabu alimponda sana dada yake, sikujali zaidi niliona vema nifanye analysis ndo nihukum, wakati tupo kwenye gari namrudisha shem wangu alikuwa mara ananigusa bega huku nadrive nilihisi kitu lakini sikujali, wakati namshusha aliniangalia usoni kama anataka kitu mi nikakausha,
alipofika home akanipigia kunitaarifu kuwa amefika, baadae akaniambia atakuja kwangu kuna ishu anataka kuniambia, kutokana na kumpenda sana gf wangu na nilitaka kujua basi nilimkaribisha, mi ni mwanadamu kabisa alichonimbia ni kuwa ananipenda tena sana na yuko tayari kwa lolote,nilikataa alichoniambia nikikataa anamwambia dada yake! ni kwleli ni mzuri na anavutia sana na mimi niliingiwa na shetani nikamkubalia sema niligoma kuplay nae siku hiyo kwani roho ilisita sana na kesho yake nikampa sharti la kutest hiv nikihisi atakimbia, kweli alikuja tukaenda kutest and we found free hiv all of us!siku hiyo nilido with protectiction lakini! iliniuma sana tena sana but thats it!
Kwa sasa naona na dada yao kaibuka mara smu saa sita usiku mara g9t text nyingi mara gmorning shem wa ukweli, mara nataka kukutoa nikimmwabia poa ila tuwena mdogo wake yani gf wangu hataki!sasa imekuwa kero kwangu, nimebadilisha namba ya simu kukwepa usumbufu huo lakini wapi! najuta na kweli nilikosea sana kujiingiza kwenye mambo kama hayo hali gf wangu we are in good terms! sasa je nikimuoa na hawa jamaa nitakuwa nawachukuliaje au wao watanichukuliaje? kweli nimekoma! i am sorry for what happened! soory to my gg
na nina mpango wa kumwambia hiki kisa takavyoamua i will be ready!