Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kibaya zaidi Mwafrika hataki kabisa kukiri kuwa akili zake ni finyu au hana akili kabisa.
Kila mtu hapa Afrika ni daktari, ukiumwa kidogo utasikia kunywa maji mengi. Kula matunda. Ukimuuliza hayo maji yanafanya vipi moa mtu apone hana jibu.
Karne hii bado kuna watu wanawafundisha Waafrika wenzao namna ya kutengeneza sabuni ya maji kwa material ya watu wengine.
Afrika yai la kuku wa kisasa tunadanganyana kuwa linaeneza ushoga, mara linapunguza nguvu za kiume.
Kijana akitaka kwenda kufanya zinaa anakula dona jingi. Ukimuuliza hilo dona linahusika vipi na mfumo wa manii hajui.
Najuta kuwa Mwafrika.