Najuta kuwa Mwafrika

Najuta kuwa Mwafrika

Usijute, Mungu kaamua uwe hivyo ili Wazungu wapate watu wa kuonea. Waliokuletea imani zao na ukakubali, Mungu aliamua wewe ni mtu wa ndio tu kwa mzungu.
 
Afrika tumechelewa ila angalau tunaelekea pazuri. Watu wanaanza kua na akili na kuachana na imani na mila potofu ambazo tumeishi nazo kwa miaka mingi
 
Back
Top Bottom