🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Aisee huyo mwanamke ni fala haswaaJana tu nimetoka kulala na mke wa mtu. Ameniahidi atanizalia watoto wawili.
Amesema madhaifu mengi sana ya mumewe.
Kama mwanamke ameolewa na anagongwa nje, kuna haja gani ya kuoa?
KabisaTena kuna baadhi ya makabila ndio wamezidi,wanaume ndio mana tunajifia mapema
💯🤝Mwanamke ni kiumbe mbinafsi sana
Hiyo nzuri kuna wanaume ni wabishi sana, kila kitu yeye ndiye kichwa cha familia ushauri wa mke hataki anapokea ushauri wa marafiki, dawa zao ndiyo hizo hakuna nyingine.Ila za wanawake sio za kupigia hesabu otherwise ziwe chini yako yaani atoe aweke mezani mjue Cha kufanya Kwa pamoja
Afadhali wew alikushirikisha kununua kiwanja kunawenzio wakezao Wana nyumba Hadi 3 za maana na waume hawajui
Wee kamata hata paka wa jirani hakuna namna, kama mie hapa kuna nyau mmoja huwa anakatiza hana mkia sijui ulienda wapi [emoji13]Kuna hatua utafikia, kichwa cha chini kitakuwa kinasumbua kutaka kumuona mwenzake, sasa kama mama watoto hataki, utakimbilia wapi, au utakamata kuku?
Vip mzigo anakupa kweli? Kama anakubania na mzigo.. hapo jua kuna njemba inapiga... ashaota mapembe huyo mpandishe cheo awe mke wa kwanzaIla mimi hakifikia hatua ya kunifukuza kwa nguvu tutagawana majengo ya serikali. Hapa ninaondoka ila sio kwa kuniforce na naondoka kwa sababu anaona nategemea kuishi kwenye nyumba yake kana kwamba mi sina uwezo wa kwenda kupanga chumba.
Maana nimehamia hapa baada ya yeye kuforce nitoke kwenye kupanga ila sikua na mpango napo japo nimechangia kujenga hapa ilikua plan iwe nyumba ya wapangaji sasa nashangaa saa hivi ananiletea ubinafsi wa juu sana
Hiyo kadi ya watoto ndio JOKER wanalotumia kutulambisha Saba Kisha kwao kwao Wanamaliza mchezo,Kumbuka kwamba mkeo ni mama mzazi wa wanao. Wewe shupaza kichwa halafu siku wanao wakikugeuka hauna rangi utaiona.
Sasa kama ni hivi si bora usioeIla za wanawake sio za kupigia hesabu otherwise ziwe chini yako yaani atoe aweke mezani mjue Cha kufanya Kwa pamoja
Afadhali wew alikushirikisha kununua kiwanja kunawenzio wakezao Wana nyumba Hadi 3 za maana na waume hawajui
Kuoa ni maamuz ya mtu na mke utaeoa wew sio ataeoa mwingineSasa kama ni hivi si bora usioe
Usikute ni yeye mwenyewe ndiye kaandika, kajijibu na kujipa like, hizi fake IDs si za kisport sport [emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Mkuu hizi ndio nyuzi zako pendwa. Check ulivyokuwa wa kwanza kureply [emoji28][emoji28]
Sema kama masikini Oa ili usiteseke kutafuta mademu ila kama Cash ipo kama mondo we wapelekee moto tu, make masikini hamna mtakacho gawanaKuoa ni maamuz ya mtu na mke utaeoa wew sio ataeoa mwingine
Mkuu kiwanja aliandika jina lake maana yeye ndo alikopa hela ya kununua mimi nimechangia kwenye ujenzi lakini leo hii ananiambia sijachangia chochote hela yote ya kodi za wapangaji anakula pekeake so sitaki kuforce umiliki ila inaniuma tu pesa zangu nlizotupa hapa bora ningeenda kutafuta kiwanja changu hata kijijini huko
na nyie mnaooa wanawake wawili wawili mnanishangazaga sanaWe ni mjinga iwapo umejenga nyumba hiyo ukijua no ya kwake na hamjajenga nyumna yoyote kwa pamoja au ya kwako.
Mimi nimeoa mke wa pili nikamwambia anunue kiwanja na ajenge boma mimi nitamalizia akafanya hivyo na mimi namalizia anakaa na watoto wake na kwa security yake na watoto wake.
Tumeweka makubaliano nyumba alizonikuya nazo na mke mkubwa hazimhusu basi mambo yanasonga na hati zote ninazo mimi.
Mwisho tumeweka mou kuwa naweka nguvu zangu kwenye nyumba hiyo yenye jina lake kwa faida yetu sote na haiuzwi na mmoja wetu
DuuhKipindi nnanunua eneo la kujenga mzee aliandika jina lake baada ya langu
Siku naenda kufata ile hati ya mauziano nakuta jina lake...nkasema tu ah mzee aje au alisahau ...anyway nkapotezea zangu
Ila sasahiv naelewa Na pengine service zote nkatumia majina yake...
Unapotaka kuowa mkuu make sure una kitu mkononi na unajiweza kidogo kiuchumi
Kitu pekee nnachoweza kukuambia mkuu ni hiki
Asikudanganye mtu eti kuna mwanamke atakupenda wewe et umekaa tu ndani
Fedha ndio hasa heshima ya mwanaume
Tafuta fedha jijenge mwenyewe
Wale wanawake wakusema tuowane tutajenga pamoja
Wa mwisho kufanya hivyo alikua ni mama yako pekee
Hawa wengine wanataka uwe na kitu