To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Tukuyu bulyaga mkuu❤️Sanamu lako lijengwe wapi? Chagua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukuyu bulyaga mkuu❤️Sanamu lako lijengwe wapi? Chagua
Ukitaka kumtawala mwanamke unatakiwa uwe na pesa ya kuweza kumwambia ondoka kwangu, au Rudi kwangu....la sivyo u fail. Always mwanamke ni mbinafsi sana
Ndo ukweli....huwa mnyenyekevu sanaHaha somehow i can relate, mwamanke anakuwa na adab na mtu ambae kamzidi pesa. Maana anajua mtu kama huyo ni rahisi sana kubadili gia angani
Haikudhurumu❎ haikudhulumu✅Baby care haikusemi, haikudhurumu wala haikucheat 😅😅😅😅
Kaoe ndugu yangu, acha kujitesa 😅😅
Asante mkuu binafsi nina mpango wakuoa mwanamke wa dini tofauti na ya kwangu ndio maana nauliza mapema ili nijue kabisa changamoto zake zikoje
Hamna haja mkuu , ni ufala tuJana tu nimetoka kulala na mke wa mtu. Ameniahidi atanizalia watoto wawili.
Amesema madhaifu mengi sana ya mumewe.
Kama mwanamke ameolewa na anagongwa nje, kuna haja gani ya kuoa?
PoleMkuu kiwanja aliandika jina lake maana yeye ndo alikopa hela ya kununua mimi nimechangia kwenye ujenzi lakini leo hii ananiambia sijachangia chochote hela yote ya kodi za wapangaji anakula pekeake so sitaki kuforce umiliki ila inaniuma tu pesa zangu nlizotupa hapa bora ningeenda kutafuta kiwanja changu hata kijijini huko
Ushauri toka kwa mtoto mzuriUkitaka kumtawala mwanamke unatakiwa uwe na pesa ya kuweza kumwambia ondoka kwangu, au Rudi kwangu....la sivyo u fail. Always mwanamke ni mbinafsi sana
😘😘Ushauri toka kwa mtoto mzuri
Ila muda huu ulitakiwa uwe juu ukiendendesha gari.[emoji8][emoji8]
Oo niliachana na hizo mambo mkuuIla muda huu ulitakiwa uwe juu ukiendendesha gari.
Na sio kuchat [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah hii dunia hii..hv kwann wana imani za kishirikina hivyo??Wanawake wote huamini wanaume tunakufa mapema kabla yao
Tena kuna baadhi ya makabila ndio wamezidi,wanaume ndio mana tunajifia mapemaMwanamke ni nyoko kwenye Mali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndo ilivyo, wana imani yao kuwa watatawala dunia, hivyo ili watawale kwa uhuru wanahitaji wawe peke yap bila wanaumeDah hii dunia hii..hv kwann wana imani za kishirikina hivyo??
Umeongea wazi kabisa 🤣 nadhani hio nguvu imefanya kazi tangu enzi za mabibi na mababu zetu na ndio maana mwanamke alinyimwa fursa za kukua kiuchumi sababu walijua akishakuwa na uwezo anakuwa jeuri na kiburi.Ukitaka kumtawala mwanamke unatakiwa uwe na pesa ya kuweza kumwambia ondoka kwangu, au Rudi kwangu....la sivyo u fail. Always mwanamke ni mbinafsi sana
Hahahahahah pole yake, mi kingeumana tu. Ujasusi tu ungetumia kumchomoa huyo malaya kimya kimya. Aende akafanye kiburi kaburini huko. Watoto nitawalea tuUlikosea mwenyewe toka mwanzo, kosa uliwekeza kwenye uwanja wa mwanamke, kisa chako Kama Cha jirani yangu, mwanaume anafungiwa milango, anafukuzwa usku wa manane, Tena kwa sauti, uwanja wa mwanamke, ye kasapoti kwa kiasi chake Ila ananyanyaswa Sana anaomba msamaha Ila afunguliwi mlango na anaondokaga.
Huyo jamaa alikuwa na guts gani za ku deal na huyo mwanamke mwanajeshi? Hivi unajua wanawake mapolisi na hao ma afande wana roho ngumu kiasi gani hadi kufikia kupewa hizo nafasi? 🤣 🤣 🤣Mwanamke mwanajeshi pngwe mwanaume anaendesha bajaji, mwanaume islam, Yule dada anakula kitimoto, anapika pale pale, Kaka zangu tafuteni pesaaa, natamani niongee nao Ila nitaonekana naingilia Mambo yao, na wafatilia yaaani.
Mwanamke mwenye hekima ndio anaweza akakuachia mjengo na watoto akalala mbele ila hawa wanawake ma feminist na njaa kali ni lazima akukomeshe. Yani kitendo cha kuchoka mahusiano kinageuzwa vita sasa ni kupambana kila kona ili akukomeshe.Haya mambo uliyaandika ndiyo yanafanya ndoa za siku hizi kuwa ngumu sana.
Wazee wa zamani, mwanamke akizingua anaondoka na mabegi yake anawaacha watoto ila siku hizi wanaume kama mabinti.
Siwezi kuondoka nikaacha mali nianze upya.