Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Enjoy broo! I regret being a man, I survive terribly because of man identity
You gogoz!Have you already taken the staftahi itself?Yearning and longing for being a super "shosti"?Really?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe

Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake

Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka

Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.

Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]

FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Mbona umekata tamaa mapema au na ww miongoni mwao.polic wa zanzibar
 
Nimewahi ku hustle sana tuu ikiwa Dar,Singida na Dar najua hasa shubiri,Mungu tuu aliingilia kati kupata ahueni..

But with all those miseries siwezi kamwe kutamani kuwa mwanamke..

Ili mwanaume u survive kwenye hardships hizo uwe na matumaini na Nguvu ya Imani Kwa sababu ukifeli hapo ukakata tamaa aisee ndio inaharibika mazima.
 
Mkuu ukipata mtoto wa kiume kwa dunia ya sasa mtengenezee mazingira e.g biashara halafu muweke kwenye mfumo tangu akiwa mdogo hautajuta.
Unaleta mchezo na Ugumu wa Maisha wewe..

Thailand inaongoza Kwa Wanaume kijibadili na kuwa wanawake fake ukiwauliza wanasema wanakimbia Ugumu wa Maisha..

It is not easy to be a man,Kuna Jamaa Huwa wanasafiri km 100 plus Kwa baiskeli wanasukuma mkaa usiku kucha ,Huwa nikiwakuta nasikitika ila ndio wanaume hawana jinsi..huo ni mfano mmja tuu Kati ya mifano Mingi ya shuruba za mwanaume.

So nikipata mtoto wa kiume Huwa nawaza sana.
 
Nimewahi ku hustle sana tuu ikiwa Dar,Singida na Dar najua hasa shubiri,Mungu tuu aliingilia kati kupata ahueni..

But with all those miseries siwezi kamwe kutamani kuwa mwanamke..

Ili mwanaume u survive kwenye hardships hizo uwe na matumaini na Nguvu ya Imani Kwa sababu ukifeli hapo ukakata tamaa aisee ndio inaharibika mazima.
Yaani utatamanije kuwa mwanamke?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu ukipata mtoto wa kiume kwa dunia ya sasa mtengenezee mazingira e.g biashara halafu muweke kwenye mfumo tangu akiwa mdogo hautajuta.
Ndo manake Kwa sababu kinyume na hapo ana nafasi kubwa ya kupotea hata kuwa shoga ,Mashoga wanaoliwa licha maisha mazuri ni shida za hormone ila wengi wao wameingia huko kutokana na shuruba za maisha..
 
Back
Top Bottom