Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe

Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake

Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka

Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.

Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]

FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Kumamaaeeee.... Wallah tena WANAUME tunazidi kupungua Dar-es-...
Kwahiyo akitokea kibopa akuweke ndani poa TU [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]LGBT+Q bhana wanajidhihilisha. Kwa style Tofauti

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Nani alikwambia uwanawake rahisi??
Sisi wenyewe tunaonaga heri tungekua wanaume
Kuwa mwanamke ni kugumu hamna mfano siku uje mkoleni tukufunde utajua uanawake ni nini

Anyway: Achana na habari za kuwa mwanamke Bro utaolewa Shauri yako.
Hata hayo Mafanikio aliyo nayo kidog Kama anavyodai atakua wamemkula huyuu....

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Uzi wake umekuwa kama hakikisho la dhana ya wengi juu ya huyo jamaa.

Alishaonyesha kila hulka za kike katika maandiko yake. Mengi yalikuwa na mrengo wa kutaka attention ikiwa ni moja ya trait kubwa ya watu wenye tabia za kike.

Anyways ni maisha yake hakuna wa kumpangia japo sasa kaweka wazi upande wake ni upi. cocastic mpe guidance jamaa jinsi ya kuishi pasi kukera watu na chaguzi ya maisha yake.
 
Nani alikwambia uwanawake rahisi??
Sisi wenyewe tunaonaga heri tungekua wanaume
Kuwa mwanamke ni kugumu hamna mfano siku uje mkoleni tukufunde utajua uanawake ni nini

Anyway: Achana na habari za kuwa mwanamke Bro utaolewa Shauri yako.
Hahaha Hii kali
 

Nimeshangaa sana kukutana na huu uzi wa mwanajamii forum ambaye sikumtegemea na siamini kama yeye ndo kauandika, naomba niendelee kuamini pengine aliacha simu mtu mwingine akaandika na kupost.
Nikwambie kitu mashoga ni wengi zaidi ya unaowajua mtandaoni na mtaani.....

Narudia tena mzungu hakurupuki kuskuma jambo lake... nakukumbusha mzungu alipoacha utumwa, alileta ukoloni na alipo acha ukoloni alijua kuna ukoloni mamboleo....

Mzungu anafanya utafiti kabla yaku announce ni hivi more than 80% ya wanaomiliki smartphone wanafuatilia homosexial content kwetu ni siri ila kwao sio siri..... so don't be surprised mashoga ni wengi wengi na ni public figures trusted kabisaaaa

So huyu jamaa ni shoga don't be surprised
 
Back
Top Bottom