Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena


Nimeshangaa sana kukutana na huu uzi wa mwanajamii forum ambaye sikumtegemea na siamini kama yeye ndo kauandika, naomba niendelee kuamini pengine aliacha simu mtu mwingine akaandika na kupost.
 
Dah! Mwenzetu ndo hivo tena amekimbia kambi. Sifa kuu ya mwanaume ni kupambana na kutatua changamoto zinazokukabili, sasa wewe mwanaume unataka usipate changamoto unataka kupakatwa?
Hizo sifa za kijinga huku unaumia sizipendi kabisa, lakini nishazaliwa hakuna namna
 
Fanya hivi:

Nenda pale ubalozi wa Marekani. Kawaambie kuwa wewe kihisia ni mwanamke na kwamba unahitaji kubadilisha jinsia uwe mwanamke. Tafuta na makaratasi ya kufoji kutoka kwa madaktari kuonyesha una homoni nyingi za kike na Testosterone kiduchu sana.

Waambie hapo ubalozini kuwa Tanzania unateswa sana na maisha yako yamo hatarini; na kwamba ili kuokoa maisha yako inabidi ukimbilie Marekani. Tafuta na RB za polisi za uwongo kwamba ulishawahi kupigwa karibia ufe baada ya kufumwa umevaa gauni ukidengua badala ya suruali.

Kwa vile maisha yako yamo hatarini waambie wakuunganishe na NGO mojawapo inayoshughulika na mambo ya mashoga. Hawa watakulipia nauli kwenda Marekani.

Ukifika huko anza mchakato wa kujibadilisha kuwa mwanamke. Utafakamia mavidonge na sindano za homoni za kike. Ndevu zitapukutika, sauti itabadilika na kuwa ya kike na vititi vitaanza kuota. Abdallah kichwa naye ataanza kusinyaa pamoja na wenzake na hata ma bashite yako yataanza kukua na hips kupanuka...

Kama hiyo NGO yako itakuwa tayari kukulipia, au kama wewe mwenyewe utakuwa na hela zako basi anza mchakato wa operesheni ya kubadili jinsia yako kuwa ya kike. Operesheni hii ni ghali kidogo na inakwenda hatua kwa hatua na gharama zake ni kati ya dola za Kimarekani 20K - 100K. Watatoa mfumo wote wa uzazi wa kiume na kuweka wa kike na ukija kurudi Bongo utakuwa bonge ya pisi kiasi kwamba utakuwa unatongozwa usiku na mchana na hakuna atakayejua kuwa huko nyuma uliwahi kuwa Mpwayungu Village. Sasa si ajabu utakuwa unajiita Mpwayungulicious......

Changamka sasa hivi kabla ma Democrats akina Biden hawajaondoka madarakani maana akija kuingia Trump au De Santis mwaka kesho haitakuwa rahisi maana ma Republican hawashobokei mambo ya ushoga na huu upuuzi wa LGBTQ...na kupata visa kwa sababu hiyo haitakuwa rahisi.

Kila la heri mkuu...

Na kila mwalimu na aseme Aaaamen! [emoji16]
View attachment 2564758
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makubwaaaaaa haya tenaa.
 
HakyaMungu! [emoji2969][emoji2969][emoji2532][emoji2969][emoji2533][emoji2969][emoji2534][emoji2969][emoji2535][emoji2969][emoji2536] Mungu tuhurumie! Haiwezekani mtoto wa kiume kua na mawazo haya!
JamiiForums-1994197169.jpg
JamiiForums1397039397.jpg
 
Yaani nyie mnaotaka maisha mserereko ndio maana mnapakatwa. Maisha hayajawahi kuwa rahisi hata siku moja, maisha ni vita.
Acheni upuuzi kutaka vitu vya bure
Pamoja na kwamba sijuti kuzaliwa mwanaume ila napenda kuwa na Watoto wa kike wengi..

Ukweli ni kwamba Dunia sio salama na Haina huruma na mwanaume.

Hata kufanikiwa Kwa mwanamke ni rahisi kuliko Mwanaume licha ya Changamoto zao za hedhi,uzazi na kutokuwa na ubavu wa ku resist kuonewa.
 
Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe

Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake

Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka

Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.

Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]

FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]

Una viashiria vyote vya ushoga tafuta mshauri nasaha kama kujaanza kuwekwa.
 
Kijana ame umaliza mwendo natoa dk3 za kutoa salamu za mwisho

Sasa Ni rasmi kijana anaelekea kua shabiki kindaki ndaki wa team upinde
 
Back
Top Bottom