Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
You gogoz!Have you already taken the staftahi itself?Yearning and longing for being a super "shosti"?Really?ππππππππππππEnjoy broo! I regret being a man, I survive terribly because of man identity
Mkuu π€£π€£π€£
SurePamoja na kwamba sijuti kuzaliwa mwanaume ila napenda kuwa na Watoto wa kike wengi..
Ukweli ni kwamba Dunia sio salama na Haina huruma na mwanaume.
Hata kufanikiwa Kwa mwanamke ni rahisi kuliko Mwanaume licha ya Changamoto zao za hedhi,uzazi na kutokuwa na ubavu wa ku resist kuonewa.
Kiufupi ana stress za maisha Sasa sijui walimu wanakuje Katikati ya yeye kuwa hivyo.Ndo huyu kuchwa kutwa anawapondea walimu
Nilisahau πππ hedh inanikera
Anahisi akiwapondea atajisikia vizuriKiufupi ana stress za maisha Sasa sijui walimu wanakuje Katikati ya yeye kuwa hivyo.
Mbona umekata tamaa mapema au na ww miongoni mwao.polic wa zanzibarKama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Wote sisi wanaume tuna maisha magumu,ila siyo mpaka kuwaza hivi aiseeMbona umekata tamaa mapema au na ww miongoni mwao.polic wa zanzibar
Amini ila huyu atakuwa sio mwezeTu.Niliwahi kuwa na demu fulani akanambia
" Natamani sana ningekuwa mwanaume....."
Nikamuuliza umefikiria nini hadi kutamani hivyo?
Akasema " Ningehakikisha natomb mademu wengi sana....."
Hakuna mwanamke anayependa kuwa mwanamke
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Nimewahi ku hustle sana tuu ikiwa Dar,Singida na Dar najua hasa shubiri,Mungu tuu aliingilia kati kupata ahueni..Sure
Unaleta mchezo na Ugumu wa Maisha wewe..
Thailand inaongoza Kwa Wanaume kijibadili na kuwa wanawake fake ukiwauliza wanasema wanakimbia Ugumu wa Maisha..
It is not easy to be a man,Kuna Jamaa Huwa wanasafiri km 100 plus Kwa baiskeli wanasukuma mkaa usiku kucha ,Huwa nikiwakuta nasikitika ila ndio wanaume hawana jinsi..huo ni mfano mmja tuu Kati ya mifano Mingi ya shuruba za mwanaume.
So nikipata mtoto wa kiume Huwa nawaza sana.
Yaani utatamanije kuwa mwanamke?Nimewahi ku hustle sana tuu ikiwa Dar,Singida na Dar najua hasa shubiri,Mungu tuu aliingilia kati kupata ahueni..
But with all those miseries siwezi kamwe kutamani kuwa mwanamke..
Ili mwanaume u survive kwenye hardships hizo uwe na matumaini na Nguvu ya Imani Kwa sababu ukifeli hapo ukakata tamaa aisee ndio inaharibika mazima.
Kwa sababu ushakuwa mwanaume.huwezi tamani but nikuulize unapenda uwe na Watoto wengi wa kike au kiume?Yaani utatamanije kuwa mwanamke?
ππππ
Kwangu mtoto ni mtoto tuKwa sababu ushakuwa mwanaume.huwezi tamani but nikuulize unapenda uwe na Watoto wengi wa kike au kiume?
Ndo manake Kwa sababu kinyume na hapo ana nafasi kubwa ya kupotea hata kuwa shoga ,Mashoga wanaoliwa licha maisha mazuri ni shida za hormone ila wengi wao wameingia huko kutokana na shuruba za maisha..Mkuu ukipata mtoto wa kiume kwa dunia ya sasa mtengenezee mazingira e.g biashara halafu muweke kwenye mfumo tangu akiwa mdogo hautajuta.