Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Pamoja na kwamba sijuti kuzaliwa mwanaume ila napenda kuwa na Watoto wa kike wengi..

Ukweli ni kwamba Dunia sio salama na Haina huruma na mwanaume.

Hata kufanikiwa Kwa mwanamke ni rahisi kuliko Mwanaume licha ya Changamoto zao za hedhi,uzazi na kutokuwa na ubavu wa ku resist kuonewa.
Mkuu gonga tano, wengi watakuja kusema ni upinde
 
Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe

Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake

Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka

Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.

Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]

FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Mkuu uandishi huu unakosa akisi ya kimaudhui ladha ya lugha yako mtiririko, rythm huna pesa umevaa koti sio lako, wewe ni wa kawaida sana sana, the complaining rythm iko so natural to equate the reality of yours. Money speaks so smooth and straight. 🤣🤣🤣 Sente tewari, utali na mahera , mahera yalaheze
 
Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe

Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake

Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka

Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.

Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]

FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Kwa hiyo ulikuwa unataka uwe una pelekewa Motooo!!!

Wewe nahisi kuna nati imekatika kichwani leo....!!!
 
Ndo maana hamuishi mpo wengi kumbe wapenda mserereko, kwa hiyo mnaona wanawake wanafaidi sana ee.
 
View attachment 2564951
Uwe hauna likitambi ujikunje uzame katikati ya hilo paja, Uanaume raha, kuzaliwa mwanaume ni fahari, kwa siku hospitali zote duniani watoto wa kiume wanaozaliwa ni wachache kulinganisha na watoto wa kike,
Tunawaza fursa za maisha mkuuuu sio kuwaza uchafu wa ngono tuu, hujui kilichomfanya Asha migiro kuwa vice secretary wa umoja wa mataifa ni kwasababu ya kuwa mwanamke?
 
Kubali tu Leo umetoa boko, sasa uulizwe jinsia kipindi unazaliwa kwani unakuwa na utambuzi wowote? Unakuwa unatambua ugumu wa kuwa dume na ugumu wa kuwa jike?.

Itoshe tu kusema Leo umetoa boko, kubali yaishe.
Mkuu rudia kusoma, nimesema kabla ya Kuja Duniani tuwe tunaulizwa tunapenda kuwa wanawake au wanaume ila tu huu ufahamu ni non existence lakini hii option imekuwepo ingesaidia
 
Back
Top Bottom