Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Hebu ipeleke kamanda tena fasta....Shimba ya Buyenze hii vipi si inafaa kuipeleka katika uzi wetu pendwa ule?
Japo karibu kila kitu ni cha bandia lakini who cares 😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu ipeleke kamanda tena fasta....Shimba ya Buyenze hii vipi si inafaa kuipeleka katika uzi wetu pendwa ule?
Yamepita [emoji120]Pole sana mkuu
Huwezi kuwa mwanamke 100 %Oya siku hizi watu wanabadilisha jinsia. Nenda mambele wanakata mkunyenge unawekewa kipochi manyoya, uanze kuvaa maguo ya upinde, ila usikatize uganda
nauliza, kwanini umejitoa ?Usiniulize kwanini nimejitoa!
Mwanamke ni rahisi kusaidiwa apatapo shida kuliko mwanaume, mwanaume unapambana mwenyewe mpaka unasema pooHujanielewa pia.
Ninachomaanisha ni kwamba kuwa mwanamke sio solution, imagine kuchukulia kuwa mwanamke iwe ndio solution ya changamoto zako kwa upande mmoja lakini je, umefikiria upande wa pili wa kuwa mwanamke ukoje?
Nilikuwa najaribu kumuonesha upande wa pili wa hicho anachokitamani ulivyo mgumu. Unapunguza tatizo moja, unaongeza matatizo kumi
Hahahaha mpwayungu village once again 😅😅🤔 thanks for making my satoo 😅😅🏃Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Yoyote Ile ila tu niwe mwanamkeKwahiyo Mkuu kama ungekua mwanamke
Ulitaman uwe na Body ipi??
Portable au Msheeeep mtako mtakooooo .
na unavyojua kusuta, ???? Ungeliwa Kwa mikipo ww
Ataolewa na Mwalimu.Nani alikwambia uwanawake rahisi??
Sisi wenyewe tunaonaga heri tungekua wanaume
Kuwa mwanamke ni kugumu hamna mfano siku uje mkoleni tukufunde utajua uanawake ni nini
Anyway: Achana na habari za kuwa mwanamke Bro utaolewa Shauri yako.
Bwana weee🤠🤠🤠🤠All the tym hua wanatamani hivyo sasa unashangaa jitu kama hilo linataka kwenda kuukalia
Hujui Kwa mwanamke kuliwa kwake ni starehe? Ndio maana wanasikia utamu kwahiyo kuliwa kwao ni advantageHahahahha point yako kwamba, Ulitaka mtelezooo kupitia Kitobo [emoji1787][emoji1787]
Hivo wanayopitia Wanawake unayajua ??
Shulen aliwe na Kajamaa ili kamfundishe.
Mwalimu amle ili amfaulishe.
Boda amle ili ambebe Bure.
Wauza Duka za nguo vipodozi
Kazin atoe K ili aajiriwe
Eehh hahahahahah Mkuuu inataman utumia K ili uwe na mtelezo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivyo vitu vidogo sana, visingenizuia kuwa mwanamkeKupata hedhi[emoji777]
Kubeba mimba miezi 9[emoji777]
Kuzaa kwa uchungu[emoji777]
Kuvaa pedi[emoji777]
Kuviziwa na wanaume[emoji777]
Hatari ya kubakwa[emoji777]
Kuwa na matiti[emoji777]
Kuwa na matako makubwa[emoji777]
Kuinamishwa kwenye sex[emoji777]
Kuliwa kwa chips na kuku[emoji777]
Kubambiwa disco[emoji777]
Siwezi kuamini kuna mwanaume anatamani kuwa mwanamke [emoji38][emoji38]
We acha tu Ndugu yangu inafika wakati unatamani wa kubadilishana nae Kichwa jinsi Ubongo unavyowaka moto🤠🤠🤠🤠Hhhahaha hawajui tu tunayopitia
Kabadili mwonekano wa nje tu ila ni mwanaume badoSubiri nikuletee picha za wanaume wenzio waliotamani kupelekewa moto wakaona wabadili jinsia
🤠🤠🤠🤠🤠Hebu ipeleke kamanda tena fasta....
Japo karibu kila kitu ni cha bandia lakini who cares 😁😁😁
Shukran Kwa mchango wako [emoji120]Kachafua hali ya hewa sana! Ameanzaje kuwashwa ghafla hivi! Weekend hii unaweza kuta kuna kinywaji kanywa kinaanza kumuwasha
Elomenopiqu at workKama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Kwanini 😂😂😂Mm najivunia sana kuzaliwa mwanaume, ningezaliwa mwanamke nisingeolewa
Nenda ugenini ukose sehemu ya kulala tuone Kati ya wewe na mwanamke Nani atasaidiwa PA kulala haraka iwezekanavyo kuliko mwingineMtoto wa kike ndo shughuli mzee, wa kiume unawaza nini sasa mkuu
Umeona, Nani Kasema natamani kua mwanamke ili nikazweWagogo ni wazembe sana, imagine changamoto za maisha tu zinakufanya uwaze kukazwa.
Watani kazeni maisha siyo mteremko!