Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
-
- #301
Mkuu gonga tano, wengi watakuja kusema ni upindePamoja na kwamba sijuti kuzaliwa mwanaume ila napenda kuwa na Watoto wa kike wengi..
Ukweli ni kwamba Dunia sio salama na Haina huruma na mwanaume.
Hata kufanikiwa Kwa mwanamke ni rahisi kuliko Mwanaume licha ya Changamoto zao za hedhi,uzazi na kutokuwa na ubavu wa ku resist kuonewa.
Mkuu uandishi huu unakosa akisi ya kimaudhui ladha ya lugha yako mtiririko, rythm huna pesa umevaa koti sio lako, wewe ni wa kawaida sana sana, the complaining rythm iko so natural to equate the reality of yours. Money speaks so smooth and straight. 🤣🤣🤣 Sente tewari, utali na mahera , mahera yalahezeKama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Shoga ni mwanamke?Wakati anaponda walimu, kuna mdau alisema mpwa ni shoga, mi nilikataa tena nilipinga kwa ukali ila leo kadhihirisha mwenyew ni mdau wa [emoji304]
Kwa hiyo ulikuwa unataka uwe una pelekewa Motooo!!!Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Ndo maana hamuishi mpo wengi kumbe wapenda mserereko, kwa hiyo mnaona wanawake wanafaidi sana ee.Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
No, iam mpwayungu villageAkaunti imedukuliwa nahisi.
Hebu futa huu uzi[emoji187]Tupo pamoja
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Duh na hii mvua Kuna mwamba angekua amekukunja Dogstyle akijiandaa kukojolea ndani.
Tunawaza fursa za maisha mkuuuu sio kuwaza uchafu wa ngono tuu, hujui kilichomfanya Asha migiro kuwa vice secretary wa umoja wa mataifa ni kwasababu ya kuwa mwanamke?View attachment 2564951
Uwe hauna likitambi ujikunje uzame katikati ya hilo paja, Uanaume raha, kuzaliwa mwanaume ni fahari, kwa siku hospitali zote duniani watoto wa kiume wanaozaliwa ni wachache kulinganisha na watoto wa kike,
Mkuu rudia kusoma, nimesema kabla ya Kuja Duniani tuwe tunaulizwa tunapenda kuwa wanawake au wanaume ila tu huu ufahamu ni non existence lakini hii option imekuwepo ingesaidia
Ndo fikra zenu waafrikaWazazi wa Mpwayungu : tunayofuraha kumpata mtoto wa kiume
Mpwayungu mwenyewe Sasa [emoji116]
Jaman ningekua kama huyuView attachment 2564945View attachment 2564945
Acha iwe hivyo poteleambaliIla leo rafiki yangu umeniangusha huu uzi ungeletwa namgine sio wewe navo jua msimamo wako Komanda umetuangusha sanaaa leo.
Wanaenjoy kama wanampenda muhusika, kama hawampendi ni adhabu kama tu kubeba zege na kuponda kokoto 😂kwanini wasifurahie kupewa pesa mzee ?
na kama mgegedo wao ndiyo wana enjoy zaidi
huyo duu alikua anakuchora
Hhhahaha hawajui tu tunayopitiaNiliwahi kuwasikia Wanawake wawili tofauti wakisema LAITI NINGEKUA MWANAUME BASI WANAWAKE WANGEKOMA WANAUME WANAFAIDI SANA nikabaki kucheka tu
[emoji39][emoji39][emoji39]Ati mpwayungu village anatamani kuwa hivi.View attachment 2564936
Haiwezekani tena maana nishazaliwa tayari mwanaumeNina swali moja kwako ndugu mpwayungu village upo tayari kuingia period kila mwezi?.