Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Wakristo kwakukufuru sasa muone huyu mpumbavu alichokiandika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Badala ya kupuliza ili azime yeye anakaza fuvu ana puliza huku anakokeza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23].
Mimi tokea afungue Uzi anajaribu kujitetea lakini bado simuelewi mpaka sasa.
Haipo zaidi ya hizoUmeeleza sababu nyingi tu zakukufanya upende kuwa mwanamke au mwajuma au Prisca ila inawezekana labda kuna sababu kuu inakufanya upende uwe mwanamke ambayo hujaisema.
Peleka utahila wako uko, afu njoo kistarabu Leo tu nimekustahiWewe shoga Nini? pumbavu nahis wew ni Malaya mwanaueme hawez andik Uzi wa kifala hiv shame on you
Umeona, Nani Kasema natamani kua mwanamke ili nikazwe
Akuu!! Sijawah jutia kuwa mwanamke najipenda hivi hivi [emoji3526]
Roger that!One man down, over, one man down, i repeat
Namie nimwambia hivyo sema yeye atatetea akili zake kisa kusaidiana na ke kwenye familia. Wewe me ndiye mwenye familia Kama ke wako anayo kazi iyo Ni just bonus kwenye package ya ndoa yako, atajihudumia atasaidia kwao ukiondoka mapema wanao wataishi life like previously. Anakusaidia kidogo mno yaani mno. Wewe you've to hustle that's what we have born be proud to go to forest hunting and came home with antelope or wild beast in your shoulder. That's the meaning of being real. After that you get food while you brought antelope homeLGBTQ Supporters
Trust me Mwanaume kuwa na haya mawazo its not normal.
Unajuaje jogoo, swala na wanyama wengine hawalalamiki kuwa wanaume, au unaongea nao mkuu, afu hatuwez kufanana so get out of me as soon as you mayUnaye shida mahala sio bure I assure it. Kuna jamaa tukiwa olevo ameshawahi tamani kama wewe ulivyotamani kuanzia siku zile nilimuweka pembeni kiukweli huwezi amini.
Unapolalamikia nafasi yako Ina Kuna kitu hakipo sawa inside of your mental brain yaani inner core beliefs of your being,your in-built DNA, fiber,bone marrow,in your amygdala,limbic and cortez brain. Nimekuambia ivyo kwa sababu zifuatazo;
1- Jogoo hajawahi lalamika kuchimba ardhi kumpatia mtetea ale na hujawahi ona jogoo anakula akiwa anamtaka mtetea.
2- swala dume anaishi na majike 30 kazi yake Ni kutafuta malisho wale yeye kazi yake Ni kuwadunga sindano.
3-Suleiman alimiki ke 1000+ ,binafsi natamani niivunje rekodi ya Suleiman kwa kuoa hata ke 20000+.
4- Ndege, predators,jua,dunia,miti haiwajawahi lalamika kuwa Ni kazi mno kuwinda ama kufanya kazi zao ambaazo ziliumbwa zifanye mfano jua kutoa nishati,dunia kuzunguka,miti kuota ardhini bila ya kutembea na predators Ni kuwinda na wako adaptability na asili ya kazi yake Kama jogoo alivyo na makucha marefu na magumu ya kufukua ardhini kutafuta chakula tofauti na mtetea so hajawahi lalamika Ila wewe unajutia kuwa jogoo.
5--Do sharks complain/ask or afraid about Mondays? No. They're up early biting stuff, chasing stuff, being bold and reminding everyone that they're a shark.
6- [emoji274] halijawahi kufanya kazi yake ambayo imeumbwa lifanye.
So mkuu unatamani uwe unakojolewa Yale maziwa mtindi unayala unayameza halafu unapewa teuzi,kweli serious man?
Mbona mie zege nishabeba na sijutii hata ukiniambia chimba mtaro nachimba na hiyo hela Nampa mwanamke anakula na silalamikii ama kulia.
7-- kubwa kuliko yote ndio leo nimegundua why story zako humu always ni kuponda watu fulani wa kwneye maisha yetu utadhani dunia iko sawa kwa kila Jambo.
8- Elon musk,Bill gates,Warren buffet,Michael Jordan,Tyson, Mohamed Ali, akina Kobe Bryant waliokuwa wakikesha gym waki practice their craft skills hawajutii kuumia mazoezi ya kila siku. Hata Eliud kipchoge alikimbia kwa siku 365 akijiandaa na marathon ya London na alivyoenda tu akashinda taji Hilo,Usain Bolt alikuwa anakimbia amejifunga 20kg ya mzigo was tairi analivuta hajawahi jiliza.
9- Are you really real man ! Damn shit .
Kuanzia Leo sintohangaika hata kujibu ama kuchangia mijadala yako huku jukwani Mana utaniambukiza uuke huo. Mwanaume ama jinsia sio maumbile tu na Ile spirit ya kiume. Na ndio Mana unaambiwa mwanamke haisi humpenda mwanaume halisi. Mwanamke anapenda mwanaume mbabe,nayeunguruma Kama Simba na sio unaanza kuwa Kama wao unadhani ndio atakuelewa.
10- Ni sawa wewe kuwa mwalimu unajiliza Ina Mana hukuumbwa uwe mwalimu,sawa na msoja analalamika maslahi,ama daktari anajutia kazi anaona Ni heri angekuwa businessman. Elewa hao hawajaumbwa wawe kwenye hizo career. Yaani unaambiwa Kama kila jumatatu huifurahii kwenda kufanya kazi yako Ni sawa tu unapoteza muda wako hapa duniani. You've to be excited with your work,Kama vile unavyomuona Yule demu wako uliyempenda Mara ya kwanza Mana ulikuwa na uwezo wa kumsotea hata masaa 8 unamsubiria na hulalamiki Kama umechelewa. Iyo kazi unayofanya Kama huwezi ifanya bure bila ya malipo eti mpaka ulipwe ujue unapoteza muda hapa duniani.
Mana inatakiwa Ile kufanya kazi tu iwe ndio furaha yako,Kama Ni kwenda vitani Basi uwe proud kuonyesha skills zako na kuishinda maadui na kuokoa nchi yako,Kama wewe Ni mwalimu hauko proud na ufaulu ama uelewe wa wanatunzi wako Basi you aren't in your position, Kama wewe unafanya biashara you aren't focusing on your customers satisfication Basi biashara sio fani yako wewe unawaza hela tu.
Badili jinsia mbona hizo option ipo mkuu ama unaumwa labda usaidiwe madaktari wapo.
Naomba namie niongezeke kukupenda Mana utapendeka zaidi ukijumlisha upendo wako unavyojipenda na wa kwangu piaAkuu!! Sijawah jutia kuwa mwanamke najipenda hivi hivi [emoji3526]
Sent using Jamii Forums mobile app
Si rahisi ila heri huko mlikoUnahisi kuwa mwanamke ni rahisi eeh?... Mmmmh acha tu ninyamaze.
One man down....Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Mkuu hicho kimalkia hapo kiboreshe!Am proud to be born a man and I will never ever regrete, men we ur born yo hassle........I like it.
aaah leo mpwayungu kapuyanga......... Kama ni pepa hili yani unaanza tu ushakatwa marks 100 zoteKama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
unaweza kuwa mwanamke wakati ukiwa mwanaume kaka rahisi tuu...!Si rahisi ila heri huko mliko
Tufanye wewe tayari ni mwanamke ,haya utaulizwa chura unayo? Uli upate hivyo unavyo taka.Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Mkuu umesahau pia ungekuwa mwanamke ungekuwa unapelekewa moto.Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Connection mkuu tafadhaliHuyu manzi niliikula ni hatari sana.