Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Umeeleza sababu nyingi tu zakukufanya upende kuwa mwanamke au mwajuma au Prisca ila inawezekana labda kuna sababu kuu inakufanya upende uwe mwanamke ambayo hujaisema.
Maudhui yake mtoa mada yalilenga kwenye wepesi wa kufanikiwa ukiwa Mwanamke kuliko mwanaume ambaye kwa sasa tunapitia msoto mkubwa wa kupata Kazi na kufanikiwa kwenye malengo yetu
 
Siwezi kukupinga Kwa kuwa sina uwezo wakufanya research practically, ila ukweli unaonekana. Jiulize Kwa nini vifo vingi nivyawanaume
Nani kakwambia wanaume ndo wanakufa wengi? halafu unaogopa na kufa?? mwanaume unakuaje muoga muoga
Mwambieni bwana
anadhani uanawake rahisi
Bora kabisa labda ungeolewa na mwalimu na ukaacha kuwasema vibaya
😂😂😂 et angeolewa na mwalimu
sema angekua anatumika na walimu anadhani hata uko kuolewa rahisi
Daaaaaaah hiyooo Aya ya mwisho uliompa ndo azingatiee
Sana mana kama ukuta ushaanza kubomoka
 
Ndugu Mimi siwezi tamani kuwa jike hata siku moja, japo changamoto zipo lakini huwa nafurahi sana kutatua changamoto kama mwanaume.

Halafu ndugu mbona juzi juzi tu ulikuwa unatoa nyuzi zenye nondo kabisa Leo imekuwaje?.

Tafadhali sana kama inawezekana Waite moderator wafute huu Uzi maana huu Uzi umeacha maswali yasiyojibika kwenye vichwa vya watu, bado watu hawaamini kama ni wewe umetoa huu uzi.
Ndio nikasema ni non existence, hakuna ufahamu huo ila ungekuwepo natunashuhudia ya Duniani wengi tungesema tuwe Samia hata wewe ungetaka
 
Nani kakwambia wanaume ndo wanakufa wengi? halafu unaogopa na kufa?? mwanaume unakuaje muoga muoga

anadhani uanawake rahisi

[emoji23][emoji23][emoji23] et angeolewa na mwalimu
sema angekua anatumika na walimu anadhani hata uko kuolewa rahisi

Sana mana kama ukuta ushaanza kubomoka
Unatema madini sana[emoji106][emoji106]
Hujui tu
 
Kwa comment za Uzi huu nimegundua vitu kadhaa

1. Tatizo la afya ya akili litatuua sana wanaume maana tukieleza changamoto zetu tunaonekana tumelegea, tunataka mteremko, au tunakua mashoga??!;

2. Pia nimegundua wanaume wengi wanawachukulia wanawake kama chombo Cha starehe tu. Yaani 90% ya comment zinasema hawatamani kuzaliwa wanawake sababu tu wangekua wanatumika kitandani??.

Nadhani ifike mahala mtu akiwa na stress za jambo Fulani ajibiwe kama inavyopaswa sio kusema ni shoga au ana shida ya akili n.k kwa style hii wengi watakufa na tai shingoni kwa hofu ya kuonekana hawajikazi wakipitia shida!!

Cc Proved Kalamu
 
Maudhui yake mtoa mada yalilenga kwenye wepesi wa kufanikiwa ukiwa Mwanamke kuliko mwanaume ambaye kwa sasa tunapitia msoto mkubwa wa kupata Kazi na kufanikiwa kwenye malengo yetu
Ndo maana wanaume tumeumbwa kuteseka,tupo tofauti sana nawanawake kwakila idara,mimi napitia msoto sana ila siwezi kutamani kuwa mwanamke hata kidogo
 
Tunawaza fursa za maisha mkuuuu sio kuwaza uchafu wa ngono tuu, hujui kilichomfanya Asha migiro kuwa vice secretary wa umoja wa mataifa ni kwasababu ya kuwa mwanamke?
Yaani we umepotoka pakubwa sana, Asharose kuwa VP wa UN ni kwasababu ya uanawake? mbona wanawake wenzie haujawa? To be precise Yule mwanamke ana bidii na juhudi kubwa sana katika maisha yake, Amesoma weruweru na wanawake kibao tu ambao wamefight katika njia zao na hawajawa kama yeye.

Halafu mnadhani dunia ina huruma na mwanamke? I'm afraid hamfikirii sawasawa. Dunia haina huruma na mtu yeyote yule si ke wala me, upendeleo wowote anaopata mwanamke popote si sababu anaonewa huruma, inaweza kuwa anapewa haki yake aliyonyimwa muda mrefu au people are just taking advantage of her, nothing is real genuine.
 
Back
Top Bottom