Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Bichwa kome ,ana stress za Maisha sana huyo..muache tu ajimwambafai humuToka lini bichwa komwee likawa na akili? Kwanza ukifuatilia comments zako humu ndani wewe ni kitu lenye wivu, roho mbaya, husda na kijicho juu. Halafu kwa uandishi wako ni lazima elimu yako ni ya kuunga unga ( a.k.a hapa na pale)
Huyu tayari anaolewaga,sema tu kwa mda.Nani alikwambia uwanawake rahisi??
Sisi wenyewe tunaonaga heri tungekua wanaume
Kuwa mwanamke ni kugumu hamna mfano siku uje mkoleni tukufunde utajua uanawake ni nini
Anyway: Achana na habari za kuwa mwanamke Bro utaolewa Shauri yako.
Kwakweli sikumbuki maana hata huyo mama sijawahi kumuona ila kwa wanawake wa sasa ni kila kukicja kupumuliwa kisogoniKwahiyo kazi ya mwanamke ni kupumuliwa kisogoni tu?
Mama ako alipumuliwa mara ngapi hadi akakuzaa wewe!?
Hii mitandao inafichua matatizo makubwa sana ambayo tulikuwa hhatuyajui.
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]Toka lini bichwa komwee likawa na akili? Kwanza ukifuatilia comments zako humu ndani wewe ni kitu lenye wivu, roho mbaya, husda na kijicho juu.
Duh na hii mvua Kuna mwamba angekua amekukunja Dogstyle akijiandaa kukojolea ndani.
Hiyo ndo mbaya, ushindwe Kwa jina la Yesu shetani mwanaibilisi wewe unaewaza ngono za kimasikhara tu zenye uzinifu, ulaaniweeehakuna Mkuu hata kama huna K wapo wanaotumia ulichonachooo...tangaza dau
I’m proud 💯Are you proud kupigwa mkuyenge na kutawaliwa na mwanaume?
Must you show your foolishness everywhere??Kumbe kelele zote wewe ni choko unapigwa paipu ,walimu muhurumieni huyu
USSR
Siyo ana element. Sema ni ShogaHuyu mpuuzi ndiyo huwa anatukana walimu,kumbe ana elelement za ushoga.
Unakitia aibu kijiji chako cha Mpwayungu kule Dodoma, tena tunapanga kupeleka miradi ya maendeleo kijijini kwenu lakini ni afadhari tuache tuKama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Kofi Annan jeTunawaza fursa za maisha mkuuuu sio kuwaza uchafu wa ngono tuu, hujui kilichomfanya Asha migiro kuwa vice secretary wa umoja wa mataifa ni kwasababu ya kuwa mwanamke?
MkuuYaani hizi siwezi kuziangalia Ila za kawaida nacheki. Kuna muda nimebaki hostel Ile likizo ya wiki tatu ivi nikapangwa chumba na shoga ilibidi nihame ujue,Kuna siku nikaomba pc yake, kucheki Kuna picha imeandikwa my diki,Mara my esi,Kuna video za mashemale, halafu alikuwa msafi balaa ilibidi nihame chumba. Yaani mwanaume kuwa mwanamke jamani Ni kinyaa pia Hawa jamaa wazungu Kuna vitu nadhani huwa wanaweka kwenye via huko na baadhi ya vyakula ama vinywaji ili kupunguza homoni za kiume na kuongeza za kike zaidi ili wanawake wasifanyiwe ukatili zaidi. Ndio Mana unaona mababu zetu walikuwa wakali mno Ila siku hizi tunajifanya walaini eti tumeelimika na ndio Mana jitahidi ule chakula natural direct from Shamba.
Mungu anasababu ya kukuumba mwanaume, you should be proud of yourselfHongera, huku tulipo tunaipata ngondo joto la jiwe [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ili upelekewe moto daaaKwani wanawake ni mashoga? Nimesema ningetamani kuwa mwanamke sio shoga, shoga ni mwanaume nasio mwanamke
Khah! Yaani unajiita man? Kama unahofia changamoto za maisha,basi unapenda vya bure. Je,uliambiwa na nani wanawake wanapewaga vya bure? Kajinyonge basiiiEnjoy broo! I regret being a man, I survive terribly because of man identity
Et Baby vyenye ulivyo na takoo laiiiini, shingo legelegeee yenye pingili kama za Ummy MwalimuI’m proud to be a woman, hata kama kuna kuzaliwa tena nataka nizaliwe mwanamke ❤️💋
Stress za maisha muhimu. Hapa nawaza ada ya April nipeleke shule.Bichwa kome ,ana stress za Maisha sana huyo
Kumbukeni,uwendawazimu siyo tu mpaka utembee uchi. Huyu nae kichaa kimefika mahara pakeBora kabisa labda ungeolewa na mwalimu na ukaacha kuwasema vibaya