Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe

Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake

Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka

Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.

Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]

FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Kwahiyo unaona bora ungekuwa unapumuliwa kisogoni
 
Daah! [emoji848] Bado naendelea kutafakari
Yaani unatamani kuwa mwanamke kabisaaa [emoji15]
Loh! Najaribu kukufikiria mbali kidogo! Yaani saizi ungekuwa kwenye Bodaboda unapelekwa kw3nye nyumba fulani hivi lijamaa limoja limekupakia mkongo linakusubiri ulikatikie[emoji24][emoji24] [emoji2297]
Mbona mnawaza ngono tu jamani! Ko mwanamke ni ngono tu hakuna kingine
 
Itoshe tu kukushauri Mkuu "Tafuta Pesa, tafuta Pesa, ukimtanguliza Mungu mbele''



hao Wanawake, walipewa Tobo Kwa sababu kuu tatu


👉Wampe Raha Mwanaume.
👉njia ya kuzalia mtoto .
👉Wawe wasaidizi wa majukum ya kifamilia wakati Mwanaume Yuko juani anapigwa na Jua, jasho linamtoka.




Kuukimbia Uanaume maana yake, unataka vya kupewa, mdebwedo !!.
 
Kwa post za uyu jamaa nilishaanza kuhisi hayuko sawa,ipo siku watu watakuinamisha kweli,..maana mara nyingi aliwazalo mjinga ndilo litakalomtokea[emoji144]
 
Acha apate alichokitaka wala hatutoi ushauri wala nini, mwanaume unatamani kuwa jike? Serious? Nyie haki za binadamu naona mnataka kuvamilia uzi, mnataka kuhalalisha wazo la jamaa kutamani kuwa jike?.
Kwa sababu kasema Wana fursa nyingi kuliko yeye mwanaume. So issue hapa ni namna gani tunapo embrace mambo ya feminism na gender empowerment basi wanaume tusiachwe nyuma otherwise mwanamke anavyopandishwa Hadhi ndio mwanaume anazidi kupotezewa.

Mfano issue kama hii anashauriwa how akibaki mwanaume ataweza toboa bila "connection" au "advantage ya kuwa mwanamke". Sio kusema amekua shoga.

Nakumbuka Kuna mtu aliwahi anzisha thread humu akasema anatamani kufa na amekata tamaa ya kuishi. Watu wakaishia kusema anakufuru, mara aolewe, mara kachanganyikiwa n.k. bila kuangalia amesema hayo kwa muktadha upi. Baada ya miezi kadhaa ikapostiwa humu kuwa kafariki ndio watu wakaanza jutia comments zao.

So tusiwe too serious Mitandaoni, tujifunze kuwa na ustahimilivu na positivity kuliko mawazo hasi tu.
 
Wewe hujawajua watu wa humu mtandaoni ni WAJUVI MAFYATU.

Wengi wao ni hawa makurumbembe yaliyosoma shule za kata na senti kajamba.

Ni kundi linalowakilisha jamii ambayo inaamini kuwa mwanaume hapaswi kueleza hisia za maumivu au uchungu.

Ndio maana watu wanajinyonga hovyo kwa sababu ya kuhofia kujieleza.

Mtu kasema genuinely kwamba anatamani kuwa mwanamke, lakini cheki comments za hawa WAJUVI UCHWARA.

Kwanza wanawadharau wanawake kwa kiasi kikubwa sana.
Toka lini bichwa komwee likawa na akili? Kwanza ukifuatilia comments zako humu ndani wewe ni kitu lenye wivu, roho mbaya, husda na kijicho juu. Halafu kwa uandishi wako ni lazima elimu yako ni ya kuunga unga ( a.k.a hapa na pale)
 
Pole sana

I know how your feel!

Japo hicho unachowaza sio SAHIHI!

Mimi nime hustle sana Mkuu!

TOKA primary hadi udsm,Bila true mama or true Baba,kwa msaada wa walimwengu tu,mbeleni ya jk ikanibeba nikapata ajira ambayo umeitukana Sana humu jf,lakini muda sio mrefu naingia kwingine kwa connection fulani fulani !!

Lakini sijawahi waza kua mwanamke,bali nimewahit mlaumu Mungu kwaninie alinipatia wazazi wajinga wajinga vile!kwa MAAMUZI mabovu mabovu yale waliyoyafanya!!

Usilaumu jinsia yako Mkuu! hustler's tupo wengi usituone tnacoment kizungu humu mkuu!

"Wengi wetu tupo kama paulo mtume kwamba,anaijua njaa,anaijua na shibe,amepigwa Hadi ngumi katika hustle zake za kupambania kusudi lake Mungu!!


Nashauri Rudi katubu coz utafanya Mungu ahairishe mambo mazuri aliyoyaweka mbele ya MAISHA yako Mkuu!!

Rudi madhabahuni mkuu!!!


Namalizia

"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa iwe Katiba mpya"
Asante Kwa ushauri [emoji120]
 
I’m proud to be a woman, hata kama kuna kuzaliwa tena nataka nizaliwe mwanamke [emoji3590][emoji182]
Hongera, huku tulipo tunaipata ngondo joto la jiwe [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom