Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
-
- #561
Kuwa shoga sio kuwa mwanamke mkuuWewe jamaa ni mjinga na lengo lako kutangaza ushoga yaani unataka kutuaminisha Tanzania napo eti kuna wanaume wanatamani kuwa wanawake jinga kabisa. Huu upuuzi mnalipwa kuupandikiza bongo. Naona kuna mipusa kibao ime like uzi wako jinga mkubwa.
HahahaLeo mpwayungu umeniangusha sana, kwa hiyo upo kwenye wrong body? Ukipewa nafasi ya kuwa shemale utakubali?
Siamini, au ndumba za walimu zimeanza kazi?
[emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa huyu anadharau Sana walimu.Ataisoma namba.Sasa anawaza kuwa mwanamke na bado........
Sasa kulala kwenye mapori na madampo ni sifa [emoji22]Yaani wewe sijui una nini. Wewe mwanaume hata kwenye kalvati ,boma,jumba bovu,kwenye mitaro,gari bovu unalala. Wewe Ni mwanaume dunia Ni yako unaimiliki.
Waulize wanaume wakiwa vitani huwa wanalala wapi ndio urudi kuongea hayo Mambo. Unatamani kupewa lift ke Mana me anaachwa anatembea. Yaani hii kutamani position ya ke tayari wewe Ni ke. You're strong as your beliefs. Your beliefs acts as scriptwriters in background of your mind ,and you're acting according to your beliefs. Aisee kumbe ndio Mana unawatukanaga walimu Mana ukipewa mimba na ticha akakuacha sijui
Mkuu shoga ni mwanaume, mm nimesema natamani ningekuwa mwanamkeHuyu jamaa ushoga unamnyemelea kwa kasi sana, kama si tayari.
Binanadamu kwa Nature yetu ukizaliwa moja kwa moja unanza kupambana kutoka na maumbile yako,
Haya ni mapya.
Haya MAVILAZZAZZ na MAMBURULAAZZ ya mitandaoni hayawezi kuelewa hizi sayansi za kimkakati.Mkuu
Utambue kwamba
Bia za miaka ya 1995 kurudi nyuma zilikuwa na kiwango kikubwa cha testosterone homorne ya kiume ambayo iliwafanya WALEVI wa kiume kuwa wakorofi Sana!
Sasa kanisa katoliki likapiga marufuku viwanda kutengeneza vileo hivyo coz ya crimes na unyanyasaji majumbani wa hao WALEVI wanapolewa kuwafanyia wanafamilia,ndipo ikapigwa U-TURN wakatia oestrogen ya kutosha Hadi leo hormone ya kike ni nyingi Sana kwenye vileo Ili wanaume TUWE wapole na humble na kweli walevi wakorofi wamepungua na Sasa walevi kibao wanaota matiti FULANI hivi vifuani yaani sio muscles bali matiti na UPUNGUFU wa nguvu za kiume hence USHOGA!!
Huyu dada anasumbua sana kwenye mitandao Ana mv balaaaView attachment 2564749kweli kabisa mpwayungu village unatamani kuwa hivi?
Jichanganye uone utakavozagamuliwa mpka upauke.
Pumbav sana
Kwa sababu kasema Wana fursa nyingi kuliko yeye mwanaume. So issue hapa ni namna gani tunapo embrace mambo ya feminism na gender empowerment basi wanaume tusiachwe nyuma otherwise mwanamke anavyopandishwa Hadhi ndio mwanaume anazidi kupotezewa.
Mfano issue kama hii anashauriwa how akibaki mwanaume ataweza toboa bila "connection" au "advantage ya kuwa mwanamke". Sio kusema amekua shoga.
Nakumbuka Kuna mtu aliwahi anzisha thread humu akasema anatamani kufa na amekata tamaa ya kuishi. Watu wakaishia kusema anakufuru, mara aolewe, mara kachanganyikiwa n.k. bila kuangalia amesema hayo kwa muktadha upi. Baada ya miezi kadhaa ikapostiwa humu kuwa kafariki ndio watu wakaanza jutia comments zao.
So tusiwe too serious Mitandaoni, tujifunze kuwa na ustahimilivu na positivity kuliko mawazo hasi tu.
Tupo smart sana, hajawahi kudharau mchango wa mtuHivi baba yako mzazi angeweza kusoma huu upupu ulioandika hapa unadhani angejisikiaje we nguchiro?
Neno mjinga umelitolea nini sasa?Mmoja mwingine chali
Haupo kawaidaHalafu mtu anasema bora kuwa mwanaume na kigezo kikuu ni ngono tu
Akili huna bila shakaNashkru sana unajibu bila mihemuko, lakini swali dogo tu hauoni kwamba mtoa uzi inatakiwa akemewe zaidi kuliko sisi tunaokoment, maana kwenye mada yake kama umesoma vizuri ukaelewa basi utaona kwamba yeye ndio amemuchora mwanamke kama mtu asiyejiweza, mtu wa kupokea tu, halafu kuthibitisha hilo kasema angekuwa mwanamke angetumia K yake kufanikisha mambo yake.
Huoni yeye ndio kamchora mwanamke kuwa chombo cha starehe?
Huyu hana baba aise. Unamchanganyia habari na wewe sasaHivi baba yako mzazi angeweza kusoma huu upupu ulioandika hapa unadhani angejisikiaje we nguchiro?
Kwani mwanamke ambaye anafungua malango ya ikulu ili apewe chips yai hapati maumivu?Hizo sifa za kijinga huku unaumia sizipendi kabisa, lakini nishazaliwa hakuna namna
Waje wale za uso, hii topic ukija kichwa kichwa na mihemko yako lazima uchezeeDah umewapa upenyo maticha
Lazima ushambuliwe mwanangu
Ova
Sijui Kwa kuwa mm sio mwanamke, Kuna baadhi ya problem zinasoviwa na wahangaU
Kwani mwanamke ambaye anafungua malango ya ikulu ili apewe chips yai hapati maumivu?
Huyu kichwa chake kipo empty mkuu. Ila,si ajabu saana,maana kuna watoto wa kiume pia. Mmoja wapo huyu hapaaaHaipunguzi kitu ukiniignore lakini wewe kutokana na huu uzi umekupunguzia heshima uliyoijenga miaka na miaka Leo hii umeipunguza sababu ya huu uzi.
Sijaelewa nini tatizo limekukuta mpaka kuleta uzi wa namna hii?.
Ni kwamba umeshindwa au ulikosa namna nzuri ya kuwasilisha wazo ulilokuwa nalo au?.
Ulikuwa unatafuta attention kwa watu? Au labda akaunti yako ya JF inatumiwa na mtu mwingine anataka akuchafue jina?
Au ulichokiandika umejaribu kukisoma kwa kurudia ukaelewa ulichoandika?
Jitafakari.