Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Wewe jamaa ni mjinga na lengo lako kutangaza ushoga yaani unataka kutuaminisha Tanzania napo eti kuna wanaume wanatamani kuwa wanawake jinga kabisa. Huu upuuzi mnalipwa kuupandikiza bongo. Naona kuna mipusa kibao ime like uzi wako jinga mkubwa.
Kuwa shoga sio kuwa mwanamke mkuu
 
Yaani wewe sijui una nini. Wewe mwanaume hata kwenye kalvati ,boma,jumba bovu,kwenye mitaro,gari bovu unalala. Wewe Ni mwanaume dunia Ni yako unaimiliki.
Waulize wanaume wakiwa vitani huwa wanalala wapi ndio urudi kuongea hayo Mambo. Unatamani kupewa lift ke Mana me anaachwa anatembea. Yaani hii kutamani position ya ke tayari wewe Ni ke. You're strong as your beliefs. Your beliefs acts as scriptwriters in background of your mind ,and you're acting according to your beliefs. Aisee kumbe ndio Mana unawatukanaga walimu Mana ukipewa mimba na ticha akakuacha sijui
Sasa kulala kwenye mapori na madampo ni sifa [emoji22]
 
Mkuu

Utambue kwamba

Bia za miaka ya 1995 kurudi nyuma zilikuwa na kiwango kikubwa cha testosterone homorne ya kiume ambayo iliwafanya WALEVI wa kiume kuwa wakorofi Sana!

Sasa kanisa katoliki likapiga marufuku viwanda kutengeneza vileo hivyo coz ya crimes na unyanyasaji majumbani wa hao WALEVI wanapolewa kuwafanyia wanafamilia,ndipo ikapigwa U-TURN wakatia oestrogen ya kutosha Hadi leo hormone ya kike ni nyingi Sana kwenye vileo Ili wanaume TUWE wapole na humble na kweli walevi wakorofi wamepungua na Sasa walevi kibao wanaota matiti FULANI hivi vifuani yaani sio muscles bali matiti na UPUNGUFU wa nguvu za kiume hence USHOGA!!
Haya MAVILAZZAZZ na MAMBURULAAZZ ya mitandaoni hayawezi kuelewa hizi sayansi za kimkakati.

Wao ni kubugia tu bia na kula matunda ya kimaskhara.

Hayajui kitu. Hii ndio faida ya SHULE ZA SENTI KAJAMBA.
 
Nashkru sana unajibu bila mihemuko, lakini swali dogo tu hauoni kwamba mtoa uzi inatakiwa akemewe zaidi kuliko sisi tunaokoment, maana kwenye mada yake kama umesoma vizuri ukaelewa basi utaona kwamba yeye ndio amemuchora mwanamke kama mtu asiyejiweza, mtu wa kupokea tu, halafu kuthibitisha hilo kasema angekuwa mwanamke angetumia K yake kufanikisha mambo yake.

Huoni yeye ndio kamchora mwanamke kuwa chombo cha starehe?
Kwa sababu kasema Wana fursa nyingi kuliko yeye mwanaume. So issue hapa ni namna gani tunapo embrace mambo ya feminism na gender empowerment basi wanaume tusiachwe nyuma otherwise mwanamke anavyopandishwa Hadhi ndio mwanaume anazidi kupotezewa.

Mfano issue kama hii anashauriwa how akibaki mwanaume ataweza toboa bila "connection" au "advantage ya kuwa mwanamke". Sio kusema amekua shoga.

Nakumbuka Kuna mtu aliwahi anzisha thread humu akasema anatamani kufa na amekata tamaa ya kuishi. Watu wakaishia kusema anakufuru, mara aolewe, mara kachanganyikiwa n.k. bila kuangalia amesema hayo kwa muktadha upi. Baada ya miezi kadhaa ikapostiwa humu kuwa kafariki ndio watu wakaanza jutia comments zao.

So tusiwe too serious Mitandaoni, tujifunze kuwa na ustahimilivu na positivity kuliko mawazo hasi tu.
 
Nashkru sana unajibu bila mihemuko, lakini swali dogo tu hauoni kwamba mtoa uzi inatakiwa akemewe zaidi kuliko sisi tunaokoment, maana kwenye mada yake kama umesoma vizuri ukaelewa basi utaona kwamba yeye ndio amemuchora mwanamke kama mtu asiyejiweza, mtu wa kupokea tu, halafu kuthibitisha hilo kasema angekuwa mwanamke angetumia K yake kufanikisha mambo yake.

Huoni yeye ndio kamchora mwanamke kuwa chombo cha starehe?
Akili huna bila shaka
 
Haipunguzi kitu ukiniignore lakini wewe kutokana na huu uzi umekupunguzia heshima uliyoijenga miaka na miaka Leo hii umeipunguza sababu ya huu uzi.

Sijaelewa nini tatizo limekukuta mpaka kuleta uzi wa namna hii?.

Ni kwamba umeshindwa au ulikosa namna nzuri ya kuwasilisha wazo ulilokuwa nalo au?.

Ulikuwa unatafuta attention kwa watu? Au labda akaunti yako ya JF inatumiwa na mtu mwingine anataka akuchafue jina?

Au ulichokiandika umejaribu kukisoma kwa kurudia ukaelewa ulichoandika?

Jitafakari.
Huyu kichwa chake kipo empty mkuu. Ila,si ajabu saana,maana kuna watoto wa kiume pia. Mmoja wapo huyu hapaaa
 
Back
Top Bottom