Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Nimeshafika kijiji cha mpwayungu, kule watu wanakula maboga, karanga mbichi, matango ya kienyeji, mahindi ya kuchoma/ kuchemsha, fulu n.k, vyote vya asili yaani watu wako fiti balaa, mtu ana miaka 30, watoto 15, sipati picha Mkuu mpwayungu ungekua kule kwenu sasa hivi, ungekua umechakaa kiasi gani...[emoji23][emoji23]
 
Mimi nataka niwe mwanamke
 
Nyoosha maelezo wewe, Maisha ni magumu ila hakuna mwanaume kamili anayetaka kuwa mwanamke.

We kama umeamua kutunuku choo tunuku tu usitafute visingizio.
 
Hujui kitu Kaa kimya wewe [emoji57][emoji57][emoji57]
 
Madhara ya kuvuta bange siku ya kwanza, waambie ndugu zako wakununulie miwa utafune ikate hiyo makali ya bange laa sivyo Sasa hivi utatamani uwe Majani uliwe na mbuzi
Soma vizuri uzi wangu mkuu usiishie kwenye kichwa cha Habari tu
 
Kwa kesi ya huyu dogo, ukiangalia mfululizo wa posts zake, utajua hayuko sawa kisaikolojia. Yuko na vitu vingi vinamsumbua. Faraja pekee, anaipata humu kwa kuwasemea hovyo watu fulani, au kwa kujikweza na kuziishi fantasy zake kwa maandishi.

Ila hii ya leo, he just hit a new low!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…