Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena


At least umeeleza vizuri aisee iwe 50/50 tu mambo yaishe ulaya mbona wanaishi
Ivo.
 
Roho za ushoga zinaanza hivi hivi mtu anaanza kutamani kuwa mwanamke, kemea hiyo roho.

Harafu unadhani kuwa mwanamke ni rahisi. Majukumu ya kuwa mama unadhani ni rahisi? Kamuulize mama yako atakujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…