Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Kumbe mnatambuana.Sasa huyu sio mwanamke ni shoga huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mnatambuana.Sasa huyu sio mwanamke ni shoga huyu
Fata maisha yako achana na mimi. Mimi Nina maisha yangu hata mvua isiponyesha miaka kumi mfululizo naishi, hata Unga uuzwe kilo laki moja nanunua, hata bei ya petrol ifike Lita Kwa laki moja najaza full tank kwenye gari yangu. Wewe hangaika na umasikin wakoHadi kuandika kumeanza kukushinda masikini!!
Pole sana, mrudie Mungu ikingali mapema.
Muulize pia mama ako raha ya kuwa mwanamke atakujibu usitake kuwajibia waulize wao maana ndowahusikaMkuu bora kuzaliwa mwanaume... Hakuna mwanamke anaependa kuwa mwanamke na kukojolewa ndani ,.. ni vile tuu hawana namna wanakubali tuu ili waweze kuishi...imagin unawekwa dogstyle huku unapigwa kofi la m^tak¢
Hapana ni dhambi kujiuaKunywa sumu ufe huenda ukazaliwa ulaya ukiwa mwanamke
HakikaOne man down, over, one man down, i repeat
🤣🤣🤣🤣🤣Fata maisha yako achana na mimi. Mimi Nina maisha yangu hata mvua isiponyesha miaka kumi mfululizo naishi, hata Unga uuzwe kilo laki moja nanunua, hata bei ya petrol ifike Lita Kwa laki moja najaza full tank kwenye gari yangu. Wewe hangaika na umasikin wako
Huna hoja ya kupambana na mimi wewe tuliza matakoNyie mnaotetea hoja ya mtoa mada kuna nati zimelegea sio bure, sasa utatamanije kuwa mwanamke usiliwe?.
Halafu amesema kabisa anatamani kuwa mwanamke ili apate mserereko wa maendeleo, hapa duniani kati ya mwanamke na mwanamme nani mwenye chance kubwa ya kufanikiwa? Kwangu Mimi naona mwanaume ananafasi kubwa ya kufanikiwa kuliko mwanamke na hilo linadhihilishwa na tunachokiona kwenye jamii zetu.
Sasa kwanini mtoa mada atamani nafasi za upendeleo wanazopewa wanawake?. Inamaanisha mapambano ya kiume ameshindwa.
AahaajaKupatwa kwa Mpwayungu Village mchukia walimu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]
View attachment 2565998
Mbona wanawake hawapitii msoto mzito kama sisi???umetukosea sana wanaume la muhimu usijute hata kidogo mwanaume unatakiwa kuwa mpambanaji kwenye hii Tanzania yetu fursa kibao ila ni vile wanaume wengi hatutaki kujituma na kupambana hivi Kila mwanaume akijutia kama wewe Dunia si itawaka moto
Fanya kama hivHuna hoja ya kupambana na mimi wewe tuliza matako
Hawapitii msoto kwakuwa waliumbwa kukaaa nyumbani kuhudumia familiaMbona wanawake hawapitii msoto mzito kama sisi???
Rudia kusoma tena thread yangu madam, I before was respecting you so much but from now on you are out of my model. Nilisema kabla ya kuzaliwa tungekuwa na machaguo basi ningetaka nizaliwe mwanamke ila ni ngumu kwakua mfumo wa uumbwaji hautupi ufahamu Wala option yoyote Ile.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na bado unatamani kuwa mwanamke!! Sasa tukiachana na maisha yako huoni utatuharibia jamii!!
Basi hakikisha maisha yako hayatikisi maisha yetu, hakika tutaachana na wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] futuhiiiKuna jamaa m'moja alikuwa na mawazo ya kipopoma kama yako akawa anamlaumu sana MUNGU na na kuonyesha majuto ya kuwa mwanaume katika maisha yake. Akalalamika kuwa mkewe ni House wife tu na hakuna la maana anafanya zaidi ya kupika na kukaa na watoto tu nyumbani.
Siku moja MUNGU akasikia maombi yake. Alipolala akaamka akiwa mke na mkewe akawa mume. Yaani wakabadilishana jinsia.
Jamaa alipoamka akastaajabu sana lakini akaona alichokitaka ndio kimetimia so hakuwa na namna ila kukubaliana na hali.
So picha linaanza akaanza majukumu ya mke. Akaanza kuamka alfajiri sana kuandaa watoto kwaajiri ya shule na baadae kumuandalia mumewe kwaajiri ya kazini. Then akatakiwa kuanza purukushani za sokoni baada ya familia kuondoka.
Akatakiwa kuanza kukimbizana na ratiba za usafi wa ndani na jikoni, kufua nguo,kusafisha mazingira na kadhalika, manunuzi ya sokoni ni kuandaa chakula cha mchana kwaajiri ya watoto wakirejea toka shule plus cha jioni kwajiri ya familia nzima.
Na bado alipomaliza yote hayo mumewe akawa anataka mzigo. Na MUNGU ili kumuonyesha akampatia nguvu na tamaa kali sana huyu mwanaume akawa anataka gemu kila siku asubuhi na usiku tena round zaidi ya moja.
Baada ya siku kadhaa, akaanza sasa kuona kero kuwa mwanamke na kutamani kurudi hali yake ya kuwa mwanaume. Akamrejea MUNGU kwa sala na maombi akikiri kuwa kuwa mke ni jukumu zito sana ila linataka mtu kukubali kuwa mwanamke ndipo uliweze.
Jamaa aliomba sana bila kukata tamaa na alilia sana usiku na mchana akiomba kurejeshwa kwenye mwili wake kama awali.
Siku moja, malaika akamtokea katika ndoto na kumwambia, kazi ya MUNGU bado haijaisha kuna jambo bado haujapitia kama mwanamke, jamaa akaamka asubuhi akiwa anajisikia hovyo sana na kutapika sana. Hakuweza kufanya kazi yoyote siku hiyo hadi jioni mume wake aliporejea na kumkuta hivyo wakaenda hospital. Walipofika vipimo vikaonyesha ana ujauzito wa wiki kadhaa. Mumewe alifurahi sana. Jamaa akawa anawazia sasa itakuwaje swala la kubeba mimba hadi kujifungua. Story ikaishia hapo so jamaa anatakiwa kujifungua kwanza ndipo arejee kuwa mwanaume tena kama awali.
So story yetu inatufunza kuwa MUNGU ana kusudio lake kukuumba namna fulani. Kama amekuumba katika hali ya ufukara hebu jaribu kuridhia kuishi huko huku ukitafuta namna za kutoka kwa kumuomba yeye ila usianze kulaani na kulaumu kwann wewe uzaliwe mazingira hayo.
Sasa mleta uzi naona wewe unamlaumu MUNGU kwann amekuumba katika jinsia ya uanaume na unahisi alikosea kukuleta katika hiyo hali. Hilo ni kosa kubwa sana kwa binadamu kufanya.
Inawezekana kuna mambo mengi wewe kama mwanaume haujayafanya ambayo yatakufanya ufurahie maisha. Kuna fursa ambazo sisi wanaume tunazo ambazo wanawake hawawezi kuzisogelea. Kuna kazi mwanamke hata awezeshwe katu hawezi fanya.
Focus ya mwanamke katika kazi na biashara ni ya muda mfupi sana ndio maana hata biashara zao zikianza kuchanganya utaona wanaanza kuloose focus ya kumanage unless apate back ya kiume kusimamia.
So kuna advantages nyingi sana za kuwa mwanaume umezioverlook sababu unataka kupewa, kusaidiwa, kushikwa mkono, kubebwa, na kuwezeshwa kama mwanamke.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km kweli vilee.Unadhani mashoga hawana akili timamu au hawaruhusiwi kupinga kitu. Shoga naye ni kama mwanamke sema shida ni ndevu na naumbile ya sura.
Tayari nimezaliwa mwanaume, kuwa mwanamke haiwezekani maana uumbwaji wa kike ni tangu kwenye muundo wa sperms zinapokutana na mbegu za kike nasio kukatwa kengere au kugeuzwa back huo niuchoko na ufirauniAchia ngazi wewe huu mziki huuwezi, uanaume ni kazi kazi ..siyo lazima uwe mwanamke, ata ivyo ulivyo unaolewa tu haina mbambamba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman babuu khaaahKupatwa kwa Mpwayungu Village mchukia walimu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]
View attachment 2565998
Sasa yule ni mwanamke??? Halafu mimi nimetaja faida ya mwanamke kwenye fursa za maisha hususani anga ya uchumi ila nyie mpo kwenye ngono tuKina james delicious walianza hivyo hivyo
Basi wao wanapata raha kuliko sisi, kuteseka sio sifaHawapitii msoto kwakuwa waliumbwa kukaaa nyumbani kuhudumia familia
Umesahau Historian ya kidato Cha kwanza mkuu,kwenye majukumu ya wanawake na wanaume wakati wa Early Stone Age,mkuu
We mwalimu wa wapi!!
Mwanaume yeyote hukamilika pale anapoweza kuhudumia familia yake