Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe

Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake

Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka

Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.

Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]

FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Unaweza badili junsia ukaanza kubanduliwa.Siyo ngumu
 
Hata wewe haujachelewa badili jinsia tu ujipendekeze kwa tajiri mbona simple tu.
Wanawake wengi ni Job less ni kwa vile kwa takwimu wao ni wengi kuliko wanaume.

Ila mwanamke anaweza kumpata mwanaume amtakae kirahisi tofauti na mwanaume.

Mwanamke akitaka kuolewa na mtu mwenye mafanikio (ataweka target zake kichwani ataangalia je huyu jamaa ana Gali?, ana Fedha?, Ana kazi? etc) kisha ataweka mitego ya kujibebisha ili uingie king akupate kisha na yeye ataishi kiulaini kupitia mafanikio yako wewe mwanaume.

Tofauti na mwanaume ukiwa choka mbaya madem wakali wote watakuwa mashemeji zako tu.
 
Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe

Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake

Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka

Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.

Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]

FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Hujachelewa maana hata sasa unaweza ukaolewa tu.

Kwa maelezo haya wewe ni mwanamke 100% na kwa sasa ni mjamzito
 
Kuwa mwanamke inawezekana ila kuwa na uke ndio huwezi, wanawake wenzio akina hakika na James delicious [emoji39] wapo ila uke ndio wamekosa.
 
Wanawake wengi ni Job less ni kwa vile kwa takwimu wao ni wengi kuliko wanaume.

Ila mwanamke anaweza kumpata mwanaume amtakae kirahisi tofauti na mwanaume.

Mwanamke akitaka kuolewa na mtu mwenye mafanikio (ataweka target zake kichwani ataangalia je huyu jamaa ana Gali?, ana Fedha?, Ana kazi? etc) kisha ataweka mitego ya kujibebisha ili uingie king akupate kisha na yeye ataishi kiulaini kupitia mafanikio yako wewe mwanaume.

Tofauti na mwanaume ukiwa choka mbaya madem wakali wote watakuwa mashemeji zako tu.
Waambie ukweli mambwege hawa
 
Back
Top Bottom