Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Una uhakika mtoa mada ana lindaKwenye kundi la mashoga LGBTQ wewe upo herfi Q = Queer! Yaani wewe ni mwanaume na huukubali uwanaume wako lakini bado hujaanza kuingiliwa nyuma.
Mungu na atupishe mbali na Mambo haya
KabisaNani alikwambia uwanawake rahisi??
Sisi wenyewe tunaonaga heri tungekua wanaume
Kuwa mwanamke ni kugumu hamna mfano siku uje mkoleni tukufunde utajua uanawake ni nini
Anyway: Achana na habari za kuwa mwanamke Bro utaolewa Shauri yako.
😀😀chele siyo?.Una uhakika mtoa mada ana linda
Hata kahaba akitaka kuolewa hufundwa na kungwi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman nyie watu mmmmh.
Yeye mtu mzima anajua.
Unaweza badili junsia ukaanza kubanduliwa.Siyo ngumuKama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Uyu amesha aga kundi.Nani alikwambia uwanawake rahisi??
Sisi wenyewe tunaonaga heri tungekua wanaume
Kuwa mwanamke ni kugumu hamna mfano siku uje mkoleni tukufunde utajua uanawake ni nini
Anyway: Achana na habari za kuwa mwanamke Bro utaolewa Shauri yako.
Wanawake wengi ni Job less ni kwa vile kwa takwimu wao ni wengi kuliko wanaume.
Ila mwanamke anaweza kumpata mwanaume amtakae kirahisi tofauti na mwanaume.
Mwanamke akitaka kuolewa na mtu mwenye mafanikio (ataweka target zake kichwani ataangalia je huyu jamaa ana Gali?, ana Fedha?, Ana kazi? etc) kisha ataweka mitego ya kujibebisha ili uingie king akupate kisha na yeye ataishi kiulaini kupitia mafanikio yako wewe mwanaume.
Tofauti na mwanaume ukiwa choka mbaya madem wakali wote watakuwa mashemeji zako tu.
Hujachelewa maana hata sasa unaweza ukaolewa tu.Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Kuwa mwanamke inawezekana ila kuwa na uke ndio huwezi, wanawake wenzio akina hakika na James delicious [emoji39] wapo ila uke ndio wamekosa.Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Waambie ukweli mambwege hawaWanawake wengi ni Job less ni kwa vile kwa takwimu wao ni wengi kuliko wanaume.
Ila mwanamke anaweza kumpata mwanaume amtakae kirahisi tofauti na mwanaume.
Mwanamke akitaka kuolewa na mtu mwenye mafanikio (ataweka target zake kichwani ataangalia je huyu jamaa ana Gali?, ana Fedha?, Ana kazi? etc) kisha ataweka mitego ya kujibebisha ili uingie king akupate kisha na yeye ataishi kiulaini kupitia mafanikio yako wewe mwanaume.
Tofauti na mwanaume ukiwa choka mbaya madem wakali wote watakuwa mashemeji zako tu.
Mwisho nilisema Yesu nisamehePole Sana dume jike wee acha ujinga unajuwa umesaliwa kwa sababu maalumu ,inawezekana unamkufuru mungu pasipo wee kujua
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ndostaki hayo mmKuwa mwanamke inawezekana ila kuwa na uke ndio huwezi, wanawake wenzio akina hakika na James delicious [emoji39] wapo ila uke ndio wamekosa.
Ukiolewa ndotayari umekuwa mwanamke? Kwahiyo wanawake wote wa India ni wanaumeHujachelewa maana hata sasa unaweza ukaolewa tu.
Kwa maelezo haya wewe ni mwanamke 100% na kwa sasa ni mjamzito
Elimika mkuu, uanaume sio sifa ni mateso tu kama huna pesaHata wewe haujachelewa badili jinsia tu ujipendekeze kwa tajiri mbona simple tu.
Kubadili jinsia utaweza ila hutaweza kuwa mwanamkeUnaweza badili junsia ukaanza kubanduliwa.Siyo ngumu