Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Usikate tamaa haujachelewa njoo kwenye karakana yetu tutakurejeshea ndoto yako.
 
Kutakuwa na shida kubwa mahali
 
Inaonyesha huna Hela ndo maana unalalamika kazi Yako kutwa kutukana Walimu...na Huku huna lolote [emoji57][emoji57][emoji57]Tafuta Hela...mwanaume ni majukumu na kazi siyo kulalamika.
 
Kwani wanawake ni mashoga? Nimesema ningetamani kuwa mwanamke sio shoga, shoga ni mwanaume nasio mwanamke
Unatamani kuwa mwanamke ili uwe unaliwa na wanaume! Unatamanio kuwa na mahusiano na wanaume! Mashoga pia huwa wanaliwa na wanaume!! Ujumbe umefika kwa wahusika!! Bila shaka wanapishana kwenye pm yako!
 
Mpwayungu una tgo mashallah mtoto mlaini... Huu mwaka marinda yatakuisha bwabwa letu la jf
 
Daaaah anapenda kugegedwa keshaleft group asalaleeeeee olewa tu hakuna namna
 
Write your reply...hizo sababu hazina mashiko kabisa, pamoja na magumu ambayo wanaume tunapitia lakin asilimia kubwa tunajivunia jinsi tulivyo, hakuna mwanaume ambaye hutaman kuwa mwanamke hata siku moja wewe utakuwa unamatatizo yako binafsi
Kuwa mwanamke kuna tatizo gani?
 
Bro, unasikitisha sana. Unatamani ungezaliwa mwanamke?? Duh!!
Mimi najivunia sana kuzaliwa Mwanamume, tena huwa namshukuru MUNGU kwa hilo.
Wanawake ni mama zefu, dada zetu ndio, lakini, wanapitia majanga mengi sana katika maisha kutokana na maumbile yao. Mfano, wanaenda hedhi kila mwezi. Asilimia 90 kati yao hupata hedhi zenye kuambatana na maumivu makali. Bado kubeba mimba miezi tisa na kuzaa kwa utungu.
Hayo yote bado unatamani ungekuwa Mwanamke??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…