Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Fanya plastic surgery,hakika utaolewa mapema kabisa.

Wahi wakati DP WORLD wanajipanga kuja,wakukute ulishapona,wakuoe fasta.

Baadhi ya wanaume wasasa,wamekua wakijuta kuwa wanaume,badala yake wanataka kuwa wadada,sijui ni maisha au ni UPEPO tu...?

Kwakweli inasikitisha sana.

Na hao DP WORLD wakija, uwezekano wa wimbi la wanaume wanaukana uananaume wao,kuingiliwa kinyume na maumbile, litaongezeka sana, kwasababu kule bandarini, wataweka walinzi wao na hao walinzi wakikamata mwizi maeneo ya bandarini,adhabu moja wapo, yawezekana wakawa wanawaingilia kinyumenyume.

Mkulungwa anaingizwa kwenye kontena,wanampelekea moto.Ngoja waje.
 
Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe

Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake

Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka

Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.

Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]

FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Una tatizo la homone imbalance
 
Hujaiweka nafasi yako katika kuikubali ndo maana imekuwa ngumu sana, tengeneza plan zako then ziombee zitabarikiwa, sema Mungu nasimama katika utumishi ulionipa wa kuongoza mapambano ya uzao wangu na mke wangu nitawatunza kwa msaada wako, hiyo Sara inapaswa kuombwa unapoanziaha familia hata Sasa hujachelewa omba, kikubwa jitahidi kutubu dhambi zako kila siku ili mambo yako yanyooke.
 
Thanks much [emoji120]
 
Back
Top Bottom