Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Ebu imajini wewe ni mwanamke afu una kazi Yako lakini umeolewa unaletewa kila kitu na mme wako, unalishwa, unavishwa, unadekezwa yani raha tupu.

Kwahiyo hapa sasa nimejikita kwenye faida za kuwa mwanamke kiuchumi, fursaaa sio mengine. Yani hapa nilipo napambana kutafuta chakula changu na cha mpenzi wangu ebu ona hii michosho yani hadi keroo, nakereka vibaya mnoo

Why wanawake wanafaidi kiasi hiki jamani [emoji848]
Walio like Uzi wako nimeshindwa kuwaelewa.
 
Halafu mbona kama vile watu wanakuwa hawaamini kama Mpwayungu anahusudu shoga wakati yeye mwenyewe analeta post za kishoga shoga? Kwani kuna mtu anamfahamu Mpwayungu uso kwa uso kwamba siyo shoga?

Angekuwa jamaa tu mwingine ameleta hii mada, moja kwa moja angejumuishwa kwamba ni shoga lakini kwa Mpwayungu watu wanasita. Hakika pini za walimu zimemjenga Mpwayungu iwe ngumu kuhitimisha kuwa yeye ni shoga hata kama analeta post za kishoga.

Ni mara ya pili Mpwayungu anatamani kuwa mwanamke lakini watu wanasita kuhisi yeye ni shoga!
 
[emoji3059][emoji3059][emoji3059]
 
Back
Top Bottom