Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
😂😂😂Mpka nasahau mlango wa kanisa flattery wakoNiamey shemasi jana umekuwa mtoro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Mpka nasahau mlango wa kanisa flattery wakoNiamey shemasi jana umekuwa mtoro
😴😴Kwani wewe si unataka maokoto au?
Ahahaah nitakutoa kwenye shure ohooo😂😂😂Mpka nasahau mlango wa kanisa flattery wako
😂😂😂😂Ntakua mudhuriaji waumini washaanza niuliziaAhahaah nitakutoa kwenye shure ohooo
Ndio kuna dada mmoja anakutafuta sana anataka namba yako😂😂😂😂Ntakua mudhuriaji waumini washaanza niulizia
Kama wewe ni mwanamke kumshukuru Mungu kwa kuwa ni mwanamke ni sawa kabisa na ni sahihi!! Ila ungetamani kuwa mwanamume hapo ndo ingekuwa ni laana!!Wallahi kuwa mwanamke rahaaa sana😋
Sina mengi zaidi ya kumshukuru Mungu kwa kuwa mwanamke
Una macho mazuri mremb..[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji304][emoji304][emoji304] nenda salamaKama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
😂😂😂😂Mwambie mimi fratery sipo ktk kitengo iko nipo kwenye uburudaNdio kuna dada mmoja anakutafuta sana anataka namba yako
Una psychological disorder wew... Simple tu acha tuanze kukuita choko mkuu angalau ujihc kuwa m/mke upate farajaKama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Mshaurini shoga yenu huyoNani alikwambia uwanawake rahisi??
Sisi wenyewe tunaonaga heri tungekua wanaume
Kuwa mwanamke ni kugumu hamna mfano siku uje mkoleni tukufunde utajua uanawake ni nini
Anyway: Achana na habari za kuwa mwanamke Bro utaolewa Shauri yako.
Umejidharirisha sanaKama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23] et anahahaNamhurumia Mpwayungu village!! keshaharibika!! anahaha kutafuta hadi mitandaoni!! Namshauri amtafute Mungu ili hili pepo la ushoga limtoke!! Hakuna mwanamume anayeweza kuvumilia maneno anayoambiwa humu jukwaani, ila kwake ni raha tu, hapo yuko anafanya promotion na anatandaza mitego yake! Bila shaka huwa anafanikisha mitego yake vinginevyo angeshaacha!! Hii laana mbaya sana!!
Kazi ipo Dj aweke mziki gani apaUna psychological disorder wew... Simple tu acha tuanze kukuita choko mkuu angalau ujihc kuwa m/mke upate faraja
Pmj na hayo huyo binti anajifariji tu mkuu, in a hidden realty kuwa m/mke its a big lossKama wewe ni mwanamke kumshukuru Mungu kwa kuwa ni mwanamke ni sawa kabisa na ni sahihi!! Ila ungetamani kuwa mwanamume hapo ndo ingekuwa ni laana!!