Halafu mbona kama vile watu wanakuwa hawaamini kama Mpwayungu anahusudu shoga wakati yeye mwenyewe analeta post za kishoga shoga? Kwani kuna mtu anamfahamu Mpwayungu uso kwa uso kwamba siyo shoga?
Angekuwa jamaa tu mwingine ameleta hii mada, moja kwa moja angejumuishwa kwamba ni shoga lakini kwa Mpwayungu watu wanasita. Hakika pini za walimu zimemjenga Mpwayungu iwe ngumu kuhitimisha kuwa yeye ni shoga hata kama analeta post za kishoga.
Ni mara ya pili Mpwayungu anatamani kuwa mwanamke lakini watu wanasita kuhisi yeye ni shoga!