Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Umeona wanawake wanafaidi? wenzako wanasuguliwa mashavu
 
🤣😂 sasa hivi watu wamejaa inbox kwa Mpwayungu wanamuomba tigo... Biashara matangazo...
ila ni aibu sana tena aibu ya mwaka kizazi na kizazi huwa nasikia wanawake wakitamani kuwa mwanaume ila sio mwanaume...
Kwa hiyo wanaume wengi sana humu JF wanapenda tigo? Sasa hawa wanaomlaani hivi ni kina nani?
 
wewe lazma utakuwa chakla!!!!!!!!!!!!!!
 
Ebu imajini wewe ni mwanamke afu una kazi Yako lakini umeolewa unaletewa kila kitu na mme wako, unalishwa, unavishwa, unadekezwa yani raha tupu.

Kwahiyo hapa sasa nimejikita kwenye faida za kuwa mwanamke kiuchumi, fursaaa sio mengine. Yani hapa nilipo napambana kutafuta chakula changu na cha mpenzi wangu ebu ona hii michosho yani hadi keroo, nakereka vibaya mnoo

Why wanawake wanafaidi kiasi hiki jamani [emoji848]
 
Mkuu unawaonea wivu wanawake.

Unafanya mchezo na leba, kwenda kujiosha shahawa bada ya kugongwa, kunyonyesha, kubeba ujauzito miezi9, ada ya mwezi nk(wanawake wanachangamoto nyingi sana ni watu wakuwaheshimu na kuwatunza si kutamani kuwa wao)

Jitathmini upya wanaume tuna nafasi kubwa kuendelea ukijitambua pia unaweza kuwawezesha mabinti hata watatu ndani
 
Mtoto wa kiume kuanza kuwaza jinsi dada yako anavyopata favour kwa kigezo cha jinsia yake hizo ni dalili mbaya sana, siyo dalili nzuri at all.

Mleta mada nakushauri kama uwezekano upo ikiwa huwa unapata wasaa wa kukaa na wanaume wenzako mka-share kununua kitu eg pombe sitisha haraka sana ipo siku itafika iwe zamu yako kulipa ujilengeshe jamaa wafanye kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…