Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Unazipitia Kuna watu wa karibu unawaeleza ukizidiwa unaweka mtandaoni hapa hata kibarua Cha kupasua mawe mwanaume ule.Kwa comment za Uzi huu nimegundua vitu kadhaa
1. Tatizo la afya ya akili litatuua sana wanaume maana tukieleza changamoto zetu tunaonekana tumelegea, tunataka mteremko, au tunakua mashoga??!;
2. Pia nimegundua wanaume wengi wanawachukulia wanawake kama chombo Cha starehe tu. Yaani 90% ya comment zinasema hawatamani kuzaliwa wanawake sababu tu wangekua wanatumika kitandani??.
Nadhani ifike mahala mtu akiwa na stress za jambo Fulani ajibiwe kama inavyopaswa sio kusema ni shoga au ana shida ya akili n.k kwa style hii wengi watakufa na tai shingoni kwa hofu ya kuonekana hawajikazi wakipitia shida!!
Cc Proved Kalamu
Sasa jamaa anaonea wivu ke,so angewekwq Kama migiro ili bata