Capslock
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 3,089
- 4,816
Huyu ngoja tumgonge nyundo tu hatumpi ushauri, Mbona juzi juzi tu hapa alikuwa anaandika mada zenye point kabisa, Jana alishindwaje kudigest alichotaka kuwasilisha kwa umma?.
Sidhani kama anafaidika, kwa upeo wangu anahitaji tiba na mtu wa saikolojia.
Mtandaoni humu ni ngumu kujuwa mtu magumu anayopitia, tena bora huyu ametamani angekuwa mwanamke kuna wanaowaonea gere marehemu kwamba bora ya wao wamepumzika na shida za dunia.
Hapa issue ni umaskini uliokithiri ambao tunaita ufukara hata leo jumapili mtu pesa ya kutoka na kwenda kupata fresh air na kuachana na mitandao kwa muda hana.
Matokeo yake ndio haya mtu anaandika chochote bila kudigest na Wabongo hatujazoea kuwasaidia wenzetu wanaopitia magumu zaidi ya kuwacheka tu.