Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Kiukweli karibu katika chama Cha kuzimuliwa mtaroo maisha ni mitaroo. Kweli mitaroo sio mbaya ukiizoea so karibu sana .[emoji39][emoji16][emoji16] Kuna watu humu wanapenda lamba lamba kama kuku wa kurost wenye viungoo
Mbona kama NAKUFAHAMU wee[emoji115][emoji115] dada....
Ebhana bila Shaka umekuja kivingine... Na hupoi dadekiii zako kuhusu #MITAROOOO[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji87]

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Bila shaka Huyu Jamaa... mpwayungu village Ni chakula tena Ni #Haluwa... Na anajisikia vizur xana anapoona Maoni ya Watu Mbali Mbali>>>>[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Harafu huyu sio yule jamaa aliwahigi kuomba ushaauli Kuhusu KUNYOA VUZI MAKALIONI.....

#[emoji848][emoji848][emoji848] Shubamiiiiiitiiiii zakeee

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2089][emoji2089][emoji86]
 
Kiukweli karibu katika chama Cha kuzimuliwa mtaroo maisha ni mitaroo. Kweli mitaroo sio mbaya ukiizoea so karibu sana .[emoji39][emoji16][emoji16] Kuna watu humu wanapenda lamba lamba kama kuku wa kurost wenye viungoo

[emoji23]
 
Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe

Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake

Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka

Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.

Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]

FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Njoo nikubadilishe uwe demu
 
Mkuu wala usijute kuzaliwa mwamaume,,
Dunia ya sasa bado hujachelewa,,

Hata sasa ukiamua unaweza ukaolewa na kufanyiwa kila.kitu kama mwanamke kamili.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tatizo naheshimiana nae sana mwenye Uzi bhana
[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751]baasi kua na kabaa
 
Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe

Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake

Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka

Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.

Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]

FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Kumbe unatamani kuliwa ee
 
Back
Top Bottom