Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hotel bila free breakfast hiyo siyo hoteni ni guest house tu au lodge.Nimesema hivyo kwa maana niliambiwa kwa sasa hawatoi hiyo huduma so hata mim nkacomfirm pengne ilikuwa ni karibu wageni maana ilikuwa mpya ndiyo inafunguliwa