Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hotel bila free breakfast hiyo siyo hoteni ni guest house tu au lodge.Nimesema hivyo kwa maana niliambiwa kwa sasa hawatoi hiyo huduma so hata mim nkacomfirm pengne ilikuwa ni karibu wageni maana ilikuwa mpya ndiyo inafunguliwa
Sawa ChaiChai
Product gani?Madada poa asilimia kubwa wanatembea na product hivyo cheza mbali
Vipi hujapata na gono kabisa?Wakuu hawa madada Poa sio Poa kabisa yaani Mimi mkulima wa ufuta ambaye almost miezi mitatu napambana na ufuta wanitapeli na kuniibia madada Poa wa morogoro wale washamba? Kweli simba ni simba hata akipakwa rangi ya pundamilia tu hapa juzi nilikuwa nawasifia madada Poa wa morogoro kumbe siku yangu Ulikuwa Bado?
Aisee baada ya mavuno Niliamua kwenda kuvinjari pale samaki samaki aisee nikamuona chick mmoja amejazia na ana minyama Sana wacha nidate mie mlima mfuta nikamset manzi nikaondoka nae kwwnye mark x yangu mpaka pale lodge x
Nilikuwa na kibegi changu kilikuwa na milioni kadhaa Sasa bwana usiku Mzima Ulikuwa mizagamuano tu kwa kwenda mbele Sasa bwana nilikuwa na kinywaji cha Heineken tulikuwa tunakunywa mule chumbani Sasa nikapitiwa na usingizi nahisi yule dada Poa akanitilia dawa nikalala mazima mpaka Asubuhi kujisachi kwenye begi langu hamna hela hata kidogo Wakuu aisee sio Poa kabisa ila Uzuri pesa nyingine niliweka bank nikangekuwa fambwa ningepigwa pesa zote
Kweli nimeamini simba ni simba tu hata ageuke swala yeye ni simba tu NAJUTA.
KambaWakuu hawa madada Poa sio Poa kabisa yaani Mimi mkulima wa ufuta ambaye almost miezi mitatu napambana na ufuta wanitapeli na kuniibia madada Poa wa morogoro wale washamba? Kweli simba ni simba hata akipakwa rangi ya pundamilia tu hapa juzi nilikuwa nawasifia madada Poa wa morogoro kumbe siku yangu Ulikuwa Bado?
Aisee baada ya mavuno Niliamua kwenda kuvinjari pale samaki samaki aisee nikamuona chick mmoja amejazia na ana minyama Sana wacha nidate mie mlima mfuta nikamset manzi nikaondoka nae kwwnye mark x yangu mpaka pale lodge x
Nilikuwa na kibegi changu kilikuwa na milioni kadhaa Sasa bwana usiku Mzima Ulikuwa mizagamuano tu kwa kwenda mbele Sasa bwana nilikuwa na kinywaji cha Heineken tulikuwa tunakunywa mule chumbani Sasa nikapitiwa na usingizi nahisi yule dada Poa akanitilia dawa nikalala mazima mpaka Asubuhi kujisachi kwenye begi langu hamna hela hata kidogo Wakuu aisee sio Poa kabisa ila Uzuri pesa nyingine niliweka bank nikangekuwa fambwa ningepigwa pesa zote
Kweli nimeamini simba ni simba tu hata ageuke swala yeye ni simba tu NAJUTA.
SembeProduct gani?
Wanaziweka wapi?Sembe
Mshamba wewe.Wakuu hawa madada Poa sio Poa kabisa yaani Mimi mkulima wa ufuta ambaye almost miezi mitatu napambana na ufuta wanitapeli na kuniibia madada Poa wa morogoro wale washamba? Kweli simba ni simba hata akipakwa rangi ya pundamilia tu hapa juzi nilikuwa nawasifia madada Poa wa morogoro kumbe siku yangu Ulikuwa Bado?
Aisee baada ya mavuno Niliamua kwenda kuvinjari pale samaki samaki aisee nikamuona chick mmoja amejazia na ana minyama Sana wacha nidate mie mlima mfuta nikamset manzi nikaondoka nae kwwnye mark x yangu mpaka pale lodge x
Nilikuwa na kibegi changu kilikuwa na milioni kadhaa Sasa bwana usiku Mzima Ulikuwa mizagamuano tu kwa kwenda mbele Sasa bwana nilikuwa na kinywaji cha Heineken tulikuwa tunakunywa mule chumbani Sasa nikapitiwa na usingizi nahisi yule dada Poa akanitilia dawa nikalala mazima mpaka Asubuhi kujisachi kwenye begi langu hamna hela hata kidogo Wakuu aisee sio Poa kabisa ila Uzuri pesa nyingine niliweka bank nikangekuwa fambwa ningepigwa pesa zote
Kweli nimeamini simba ni simba tu hata ageuke swala yeye ni simba tu NAJUTA.
Sijaelewa Hapo Kibegi Mara BegiWakuu hawa madada Poa sio Poa kabisa yaani Mimi mkulima wa ufuta ambaye almost miezi mitatu napambana na ufuta wanitapeli na kuniibia madada Poa wa morogoro wale washamba? Kweli simba ni simba hata akipakwa rangi ya pundamilia tu hapa juzi nilikuwa nawasifia madada Poa wa morogoro kumbe siku yangu Ulikuwa Bado?
Aisee baada ya mavuno Niliamua kwenda kuvinjari pale samaki samaki aisee nikamuona chick mmoja amejazia na ana minyama Sana wacha nidate mie mlima mfuta nikamset manzi nikaondoka nae kwwnye mark x yangu mpaka pale lodge x
Nilikuwa na kibegi changu kilikuwa na milioni kadhaa Sasa bwana usiku Mzima Ulikuwa mizagamuano tu kwa kwenda mbele Sasa bwana nilikuwa na kinywaji cha Heineken tulikuwa tunakunywa mule chumbani Sasa nikapitiwa na usingizi nahisi yule dada Poa akanitilia dawa nikalala mazima mpaka Asubuhi kujisachi kwenye begi langu hamna hela hata kidogo Wakuu aisee sio Poa kabisa ila Uzuri pesa nyingine niliweka bank nikangekuwa fambwa ningepigwa pesa zote
Kweli nimeamini simba ni simba tu hata ageuke swala yeye ni simba tu NAJUTA.
Haswaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hotel bila free breakfast hiyo siyo hoteni ni guest house tu au lodge.
Huyo mkuu wa Mkoa Malima akiwa na smg sijui nae ni jangiri au la maana bunduki ya kivita raia haturuhusiwi kumilikiHapo Morogoro kuna mwanasiasa alishawahi kuibiwa mpaka bastola.
Walikufanyaje?DAAAAH MADADA POA/MABAAMEDI/MALAYA WANAOJIUZA ISEE HAWA MIMI PIA NILIKUA NAWAHUSUDU NA KUWACHEKA WANAOPATWA KATIKA ANGA ZAO ILA NA MIMI MWAKA HUU JANUARI YALINIKUTA ISEEER,MIMI NI BAHARIA HASWA ILA NILIPATIKANA,TO CUT A LONG STORY SHORT USIWAAMINI HAO VIUMBE NI MAJAMBAZI HASWAA HAWANAGA MAPENZI YA DHATI AONAPO HELA AU DALILI ZA UWEPO WA HELA NYINGI,VIFO VINGI VYA WAFAO MAGEST AU BAR HUSABABISHA WAO