Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hongera sana kwa uaminifu wako....Ilikuwa 2014 mgodini Bulyanhulu. Mimi nikiwa CCTV operator nilifuatwa na jamaa mmoja chamber akiniomba mida fulani ikitimia nizime camera ili wahujumu sehemu moja wapo ambayo ina hifadhi mali. Point zote walishakubali Mimi pekee ndiye nilikataa.
Jamaa walinimind sana na kusema wakinidaka mtaani nitaisoma.
Yaani nilikuwa lofa sana kuipigania mali ya mzungu kwa malipo ya mshahara kiduchu. Jamaa waliweka advance ya sh. milioni 10 mezani nikaziogopa.
Wewe!!!...Kama nafanya kwa Bakhresa yani nitazima na kumuhujumu bila huruma. Utalipaje vibarua elfu nne kwa siku? Na hukosi kuswali mara tano kwa siku?
Ilikuwa 2014 mgodini Bulyanhulu. Mimi nikiwa CCTV operator nilifuatwa na jamaa mmoja chamber akiniomba mida fulani ikitimia nizime camera ili wahujumu sehemu moja wapo ambayo ina hifadhi mali. Point zote walishakubali Mimi pekee ndiye nilikataa.
Jamaa walinimind sana na kusema wakinidaka mtaani nitaisoma.
Yaani nilikuwa lofa sana kuipigania mali ya mzungu kwa malipo ya mshahara kiduchu. Jamaa waliweka advance ya sh. milioni 10 mezani nikaziogopa.
Kama nafanya kwa Bakhresa yani nitazima na kumuhujumu bila huruma. Utalipaje vibarua elfu nne kwa siku? Na hukosi kuswali mara tano kwa siku?
Mdhurumaji mkubwa aiseeKama nafanya kwa Bakhresa yani nitazima na kumuhujumu bila huruma. Utalipaje vibarua elfu nne kwa siku? Na hukosi kuswali mara tano kwa siku?
Ameshapoteza hiyo sifa ya kuwa "Good People" maana hakupaswa kamwe kujutia tendo la kishujaa kwa imani yake.Good people are still exists
Nimewai siti mbele dirishani...
Unataka niache ili nisimuhujumu? Haiwezekani unamlipa mtu elfu nne kwa siku.Acha kazi kwani umelazimishwa?
Hongera sana hiyo itakuja kukulipa kabla hujafaIlikuwa 2014 mgodini Bulyanhulu. Mimi nikiwa CCTV operator nilifuatwa na jamaa mmoja chamber akiniomba mida fulani ikitimia nizime camera ili wahujumu sehemu moja wapo ambayo ina hifadhi mali. Point zote walishakubali Mimi pekee ndiye nilikataa.
Jamaa walinimind sana na kusema wakinidaka mtaani nitaisoma.
Yaani nilikuwa lofa sana kuipigania mali ya mzungu kwa malipo ya mshahara kiduchu. Jamaa waliweka advance ya sh. milioni 10 mezani nikaziogopa.
Shukrani za punda ni mateke....Ameshapoteza hiyo sifa ya kuwa "Good People" maana hakupaswa kamwe kujutia tendo la kishujaa kwa imani yake.
Kilichomuongoza siku hiyo na kumfanya asikubali rushwa kupindisha sheria kama kweli kilitoka rohoni kilipaswa kudumu rohoni muda wote na kujivunia.
Hongera sana. Ulifanya vyema. Ishu ingebumburuka ungekuwa jela sasa hivi na 10m isingesaidia.Ilikuwa 2014 mgodini Bulyanhulu. Mimi nikiwa CCTV operator nilifuatwa na jamaa mmoja chamber akiniomba mida fulani ikitimia nizime camera ili wahujumu sehemu moja wapo ambayo ina hifadhi mali. Point zote walishakubali Mimi pekee ndiye nilikataa.
Jamaa walinimind sana na kusema wakinidaka mtaani nitaisoma. Yaani nilikuwa lofa sana kuipigania mali ya mzungu kwa malipo ya mshahara kiduchu. Jamaa waliweka advance ya sh. milioni 10 mezani nikaziogopa.
Usijaribu hii kitu ndugu yangu, Camera zilizogungwa kiustadi kila kamera ina mlinzi wake so tangu unaisogelea ile ya awali kuipindisha tayari utakua umenaswa. Kuwa mwaminifu daimaWhy ilitakiwa hizo cctv zizimwe?ilitakiwa hizo camera zinazoface eneo la tukio zipindishwe kutoka eneo husika, ndivyo walivyofanya wenzako na sasa wanaishi maisha wewe unalalama,u snooze it .....,maisha bila to take risks ni vilio
Ni kweli "are still existing and going strong as well"!Good people are still exists
Nimewai siti mbele dirishani...