kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu.
Issue yangu iko hivi. Kuna mwanamke ni rika langu tumekua nae toka utotoni huko kwa kifupi alikua ni my childhood sweetheart, so ktk harakati za maisha tukajikuta tumepotezana.tumekuja kukutana ukubwani tukiwa chuo kikuu tukayaendeleza yale mahusiano yetu lkn hayakudumu tukashindwana.
Tukapotezana tena na baada ya karibu miaka 10 hivi tukaja kukutana tena yeye akiwa kaolewa na mimi nikiwa nimeoa. Kwa maelezo yake ni kwamba ndoa yake ilikua iko vizuri tu na mume wake alikua anampenda na kumjali kwa kila kitu, nikamshawishi baadae tukaanza kucheat, kwa kweli huyu mwanamke nikaanza kumdatisha as najua madhaifu yake,tumecheat kwa karibu miaka mitatu bila kushtukiwa na yeyote.
Sasa recently jamaa yake nadhani akashtukia kitu akaanza kufanya ujasusi kimya kimya akakamata mawasliano yetu. Akambana mkewe na mkewe akakiri kila kitu, hivi tunavyozungumza jamaa kamfukuza mkewe nyumbani tangu January mwaka huu na simu aliyokua anatumia jamaa kamnyang'anya.
Jamaa pia kanicheck mimi kanipa vitisho vingi mwishowe akaniambia ameniachia huyo mke nimuoe. Sijapata bado mawasliano ya huyu ex wife wake nijue ana hali gani kwa sasa but najisikia vibaya sana kuivuruga hii ndoa ya huyu jamaa wakuu ukizingatia jamaa ni mpole na hajawahi kunikosea lolote na pia hatukua tunafahamiana before.
Najua kuonana na jamaa ni ngumu sana as yanaweza kutokea madhara makubwa, but natamani sana kumuomba jamaa msamaha na aelewe jinsi gani najutia hiki nilichokifanya.
Je, wakuu nitumie mbinu gani kumfikishia jamaa msamaha wangu?