malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Hiyo 500M uliipata kwa kudunduliza au ulipata kwa mkupuo?Habar wakuu nawashauri msifanye makosa kama niliyofanya..ukipata pesa wekeza ktk biashara nasimajengo...fursa nyingi zimenipita kutokana na namtaji kuwa mdogo sababu ya sehemu kubwa ya faida nilipokua naipata haikurudi kuwekeza katika biashara zaid..
Matokeo yake wakat fursa naziona Sasa mtaji hautoshi bidhaa zingine nashindwa kuzinunua sabubu mtaji hautoshi sababu sehemu yafaida haikurudi ktk biashara zaid yakwenda kwenye maujenz ambayo hayaniingizii pesa yamaana tofauti na ambayo hizo pesa zingekua katika biashara
Amesema akipata faida aliwekeza kwenye ujenzi so obvious alidunduliza biashara ikadumaa.Hiyo 500M uliipata kwa kudunduliza au ulipata kwa mkupuo?
Mkuu kwa saa hizi nikiuza hayo majengo nitakua kama napata hasara tu maana Yako sehemu potential sana kwa baadae, baada ya miaka 10 pesa yake ni ndefu mno nikisema nipauze.Uza hayo malengo upate mtaji
Ni kweli usemalo ila kama pesa hiyo nisingewekeza ktk majumba Leo hii ningekuwa na uwezo wa kujenga majengo ya thamani hiyo maana mzunguuko wa biashara ungekuwa mkubwa sana sababu ya mtaji ni mkubwa na faida ingekua maradufu.Kujenga ni addictive sana, unaweza jengea mtaji usipokuwa makini ila it worth it, biashara unazoziona leo 25yr later unaweza usizikute ila nyumba unazoziona leo 25yrs zitakuwepo vilevile
Kuyauza ningumu kwa Sasa maana yapo sehemu nzuri sana..nkiuza kwa Sasa ntajuta maradufu zaid hapo baadae maana yapo eneo zuri baadae miaka10 naweza pata Hela mara Tano zaid ningeuza sasaUza majengo mengine.
Na umekuwa umehonga hizo hela ungesemaje ? si ungekufa kabisa
Usikariri, ungefilisika je?Nikweli usemalo ila kama pesa hiyo nisingewekeza ktk majumba Leo hii ningekua nauwezo wakujengo majengo ya thamani hiyo maana mzunguuko wa biashara ungekua mkubwa sana sababu ya mtaji ni mkubwa nafaida ingekua mara dufu
Mkuu hujaelewa sio mkupuo unajenge sehemu ya ongezeko ktk mtaji wako Kila mwaka assume umeanza biashara January na mtaji wa 100m Hadi kufika desemba umefanya stocking umekuta mtaji imeongezeka mpaka kufukia m220 maana yake umekuza mtaji kwa m110 so hiyo 110 au nusu yake unaanza wekeza ktk majengo badala yakuiacha izunguushe ktk biashara au uanzishe biashara mpyaHiyo 500M uliipata kwa kudunduliza au ulipata kwa mkupuo?
Umeshindwaje kuchukua mkopo kwa kuweka dhamana hayo Majengo mkuu?Habar wakuu nawashauri msifanye makosa kama niliyofanya..ukipata pesa wekeza ktk biashara nasimajengo...fursa nyingi zimenipita kutokana na namtaji kuwa mdogo sababu ya sehemu kubwa ya faida nilipokua naipata haikurudi kuwekeza katika biashara zaid..
Matokeo yake wakat fursa naziona Sasa mtaji hautoshi bidhaa zingine nashindwa kuzinunua sabubu mtaji hautoshi sababu sehemu yafaida haikurudi ktk biashara zaid yakwenda kwenye maujenz ambayo hayaniingizii pesa yamaana tofauti na ambayo hizo pesa zingekua katika biashara
Pole sana mkuu. Ndio kujifunza huko.Habar wakuu nawashauri msifanye makosa kama niliyofanya..ukipata pesa wekeza ktk biashara nasimajengo...fursa nyingi zimenipita kutokana na namtaji kuwa mdogo sababu ya sehemu kubwa ya faida nilipokua naipata haikurudi kuwekeza katika biashara zaid..
Matokeo yake wakat fursa naziona Sasa mtaji hautoshi bidhaa zingine nashindwa kuzinunua sabubu mtaji hautoshi sababu sehemu yafaida haikurudi ktk biashara zaid yakwenda kwenye maujenz ambayo hayaniingizii pesa yamaana tofauti na ambayo hizo pesa zingekua katika biashara
Habar wakuu nawashauri msifanye makosa kama niliyofanya..ukipata pesa wekeza ktk biashara nasimajengo...fursa nyingi zimenipita kutokana na namtaji kuwa mdogo sababu ya sehemu kubwa ya faida nilipokua naipata haikurudi kuwekeza katika biashara zaid..
Matokeo yake wakat fursa naziona Sasa mtaji hautoshi bidhaa zingine nashindwa kuzinunua sabubu mtaji hautoshi sababu sehemu yafaida haikurudi ktk biashara zaid yakwenda kwenye maujenz ambayo hayaniingizii pesa yamaana tofauti na ambayo hizo pesa zingekua katika biashara
Bank za kibongo interest kubwa 80% chances ukikopa hiyo nyumba inaondoka, 20% interest rate siyo mchezo biashara ikiyumba tu watu kama walikuwa wanaitamani nyumba yako ndio inaondoka unabaki huna hela wala nyumba,Huisha fedha kwenye hayo majengo,weka collateral,chukua fedha uzungushie
Mkuu Hadi nakua namawazo sio kwamba mtaji hakuna ila hautoshi imagine biashara nazofanya almost zinahitaji walautaji wa m800 ila mtaji unajikuta uko 150mUsilalamike sana Bali shukuru hata umejenga maana biashara zina mambo mengi pia unaweza kukimbiza sana na zikaja kuporomoka ghafla ukajikuta hata hujajenga ulikua unakuza tu biashara.
Ukweli ni kwamba majengo kama siyo prime area ni wastage of money baadae ukiyumba hayakusaidii labda uuzeYauze, kama una majengo yenye thaman ya 500m, huwezi kosa 350m urekebishe makosa yako.
Kwa mfanya biashara aliyepata pesa kwenye biashara, hawezi kuacha kuheshimu mtaji wa biashara.
Hii kama si chai ni bahati, nitakupa mfano:
1. Kama hiyo 500m imetoka kwenye biashara, then mtaji wako lazima uwe over 1.5bn.
2. Kama hiyo hela ya mtaji umetumia kwenye majengo, biashara ambayo imekupa pesa yote, unatakiwa u kafanye ct scan.
3. Mfanya biashara, mwenye ile akili ya kutengeneza hiyo pesa, hawezi kutokujua kwamba majengo (unless yako kwenye very prime area) hayana faida,
Hence:
Hii ni ya Tangawizi na cocoa, chai ya kibabe.